Ngumu sana hii kutokana historia ya huko nyuma.
Viongozi wa Simba ni wanafiki wanaweza kukubaliana na wenzao baadae wakawasaliti.
Case study ipo.
Viongozi wa Yanga na Simba walikubaliana wasipeleke timu za o kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa KAGAME CUP baada ya ombi lao la kuongezewa % ya mgao wa mapato ya mechi yao hiyo kugonga mwamba.
Yanga hawakupeleka timu uwanjani Simba wakawafanyia usaliti wenzao na kupata ushindi wa Chee.
Na hii ilipelekea Yanga kufungiwa kushiriki kwa miaka mitatu.