Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu mnoNi watani wa jadi lazima kutiana kitumbo joto. Ila napenda nione siku WaTZ tukishikana mikono kwa mambo kama haya.
Ngumu sana hii kutokana historia ya huko nyuma.Tuache kuchonga ngenga sana Simba na Yanga ziweke tofauti zao pembeni tushirikiane tuingie hata nusu final.
TFF waunganishe viongozi wa Simba na Yanga kufanya mkakati wa pamoja.
Mashabiki wa simba na Yanga tujitokeze kwa game za hapa ndani