Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

Tuache kuchonga ngenga sana Simba na Yanga ziweke tofauti zao pembeni tushirikiane tuingie hata nusu final.

TFF waunganishe viongozi wa Simba na Yanga kufanya mkakati wa pamoja.

Mashabiki wa simba na Yanga tujitokeze kwa game za hapa ndani
 
Ngumu sana hii kutokana historia ya huko nyuma.
Viongozi wa Simba ni wanafiki wanaweza kukubaliana na wenzao baadae wakawasaliti.
Case study ipo.
Viongozi wa Yanga na Simba walikubaliana wasipeleke timu za o kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa KAGAME CUP baada ya ombi lao la kuongezewa % ya mgao wa mapato ya mechi yao hiyo kugonga mwamba.
Yanga hawakupeleka timu uwanjani Simba wakawafanyia usaliti wenzao na kupata ushindi wa Chee.
Na hii ilipelekea Yanga kufungiwa kushiriki kwa miaka mitatu.
 
Naona kijana unajifariji kwa takwimu za mamelod..!!
Lets wait n see
 
Back
Top Bottom