Maana yake hapo mo mwenye kuwekewa hizo logo ndio anayetoa huo mpunga na sio timu kumpa mo si ndio?Nenda simba waulize ni kiasi gani kinahitajika ili wakuwekee logo ya biashara yako kwajili ya matangazo,
Budget ya marketing ya metl imepigwa panga kidogo ikawekwa simbaMaana yake hapo mo mwenye kuwekewa hizo logo ndio anayetoa huo mpunga na sio timu kumpa mo si ndio?
Ana hoja na sio kumbeza.Kwa aina hii ya mashabiki, mwacheni tu Moo aitwe Moo!! 😁😁
Kwa timu za wenye akili mfano ulaya unailipa timu pesa ndefu saa mo bureeeeeeeHizo logo unaweza kuelezea zinamfaidisha vipi?
Anhaa kumbe bado ni pesa zake zile zile na sio account ya simba ndio inayo mlipa?Budget ya marketing ya metl imepigwa panga kidogo ikawekwa simba
Mi nikajua Mo ndio analipwa na club kwa kuweka logo kumbe kisheria yeye ndio anatakiwa alipwe, sasa hapo mbona club ndo inafaidika na sio Mo?Kwa timu za wenye akili mfano ulaya unailipa timu pesa ndefu saa mo bureeeeeee
Kabisa mkuu tena vodacom nao wamedai kua wamejitoa kwasababu wanapata hasara, kwanini hasara wakati logo zipo?Ana hoja na sio kumbeza.
Kwa nini vodacom wamejitoa kudhamini ligi wakati logo yao ipo kwa kila timu? Tueleze mtalaamu, kama kuweka logo kwenye jezi kuna leta faida ya moja kwa moja, inakuwaje voda wamekimbia faida?
Mo anawapelekea sana moto simba.
Ni kama vile ana 100% ya hisa.
Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??
Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k
Hawa wenye 51% wako wapi???
Hii kweli kama Timu ya Sudan aisee. Ha hah haaAlafu anasema hanufaiki. Anaisaidia tu Simba kwa mapenzi [emoji23][emoji23]View attachment 1880170
Sportspesa kuweka tu nembo mbele analipa zaid ya bilion moja kwa mwaka sasa mwamedi 😂😂😂😂😂Alafu anasema hanufaiki. Anaisaidia tu Simba kwa mapenzi [emoji23][emoji23]View attachment 1880170
Mkuu simba si imekuwa kampuni ina inflow na outflow kama wangeweka wazi financial statement zake jibu ni jepesi tu sasa yeye katumia zaidi ya billion 21 ndani ya miaka minne ina maana kwa mwaka alikua anatoa zaid ya bilion 5 je kwa mwaka simba ilikuwa inaingiza kiasi gani mpaka iwe na deficit ya billion 5 kiuwendeshaji? Basi hata hiyo billion 20 ambayo anawekeza haita last even ten years how long he will get his return kweli investment ya hasara hiyo projection hapo ni sifuri hiyo sio biashara ya kuwekeza kama tukienda na maneno ya boss mwamediMimi nimeuliza unaweza kuelezea ni mechanism gani inayofanya hizo logo zimuingizie pesa.
Unaweza ukaweka range ya kiasi anachopata kwa yeye kuweka logo kisha ukafanya cimparison na kiasi anavhokitoa yeye kuendesha timu?
Kama timu inaingiza hela na kufanya vizuri kupitia hela zake alizo invest huoni hapo ni kama anatoa mfuko wa nyuma ana hamishia mfuko wa mbele?
Kumbuka nauliza haya nikiwa na maana
Mechanism rahisi sana. Unapotangza unakuza mauzo.Mimi nimeuliza unaweza kuelezea ni mechanism gani inayofanya hizo logo zimuingizie pesa.
Unaweza ukaweka range ya kiasi anachopata kwa yeye kuweka logo kisha ukafanya cimparison na kiasi anavhokitoa yeye kuendesha timu?
Kama timu inaingiza hela na kufanya vizuri kupitia hela zake alizo invest huoni hapo ni kama anatoa mfuko wa nyuma ana hamishia mfuko wa mbele?
Wewe firahia mpunga mjanja anafurahia neema ya fwezaHivi bado tu mnateseka na mo?,, sisi kama simba tumeridhia na huo mnaouita ujanja as long as makombe yanakuja ila wewe na utapu tapu wenzio kama hamjaridhia nadhani mngeenda cas kufungua kesi juu ya uwekezaji wake pale simba,,, nakukumbusha tu na leo utapu tapu kadroo tena huko lkn bado mnahangaika na mo
Hatawataki kuelewa yale ya manji na yanga anataka kutuletea mo vitu vingi anafanya as if a namiliki simba yote CEO wa sasa kamuweka hakuna kazi iliyotangwazwa ma billion 5 simba ilikuwa inaingizia kiasi gani mpaka iwe na deficit kubwa hiyo sina uhakika kama mo anasema ukweli ni porojo tu hakuna billion 21 aliyoweka ndani ya miaka 4 mwamedi anatupigaMechanism rahisi sana. Unapotangza unakuza mauzo.
Matangazo ni 10% to 30% ya total earnings. Kwa hiyo mapato yake ni mara tatu mpaka kumi ya gharama ya kutangaza. Kama alitumia 200mil, basi itamuingizia milioni 600 mpaka bilioni 2. Tufanye average ni 1bn.
Mo anatoa 5bn a year lakini, kabla hajatoa bilioni 20 alikuwa tayari ana mamlaka yote ya kiuendeshaji kwa miaka minne. Kwa hiyo msichukulie kama alikuwa anawafanyia favors. Bilioni 20 ikinunua Government bonds inaweza kukupa 3.4bn a year.
Maana yake, angetoa hizo 20bn kabla ya kujitwalia madaraka, Simba ingekuwa na uwezo wa kuingiza 3.4bn a year bila kuambiwa kuwa huo ni msaada. Kwa hiyo ondoa fikra kuwa Mo alikuwa anatoa msaada Simba.
Kitu ambacho Mo analaumiwa kwenye hii issue ni openness. Tenda hiyo ya matangazo ya jezi ilikuwa competitive? Ilikuwa open? Je, Simba ingeweza kupata hela zaidi kwa matangazo ya mgongoni? Kutoka kwa wadau mbalimbali kitaifa na kimataifa kama tenda ingekuwa wazi?
Kuwa mwanachama smart.
Kwanza inabidi uelewe hiyo unayoita profit unayoipigia hesabu kwa mwaka imesababishwa baada ya nani aliye wekeza pesa ambayo imesababisha hiyo profit kuonekanaMkuu simba si imekuwa kampuni ina inflow na outflow kama wangeweka wazi financial statement zake jibu ni jepesi tu sasa yeye katumia zaidi ya billion 21 ndani ya miaka minne ina maana kwa mwaka alikua anatoa zaid ya bilion 5 je kwa mwaka simba ilikuwa inaingiza kiasi gani mpaka iwe na deficit ya billion 5 kiuwendeshaji? Basi hata hiyo billion 20 ambayo anawekeza haita last even ten years how long he will get his return kweli investment ya hasara hiyo projection hapo ni sifuri hiyo sio biashara ya kuwekeza kama tukienda na maneno ya boss mwamedi
Pia na wewe kwanza uelewe hiyo pesa iliyowekezwa siyo hisani.Kwanza inabidi uelewe hiyo unayoita profit unayoipigia hesabu kwa mwaka imesababishwa baada ya nani aliye wekeza pesa ambayo imesababisha hiyo profit kuonekana
Kwani hawana viongoz wao?Hivi hao wanasmba wenye hisa 51% wametoa shi ngapi kwenye account ya simba company
Kabla hajawekeza simba si ilikuwa na vyanzo vya mapato? Unakumbuka simba alivyokosa ubingwa wa mapinduzi mwamedi alilakamika a natumia bilion moja kwa mwaka sasa hivi kaja na ngonjera ya billion tanoKwanza inabidi uelewe hiyo unayoita profit unayoipigia hesabu kwa mwaka imesababishwa baada ya nani aliye wekeza pesa ambayo imesababisha hiyo profit kuonekana
Toa ushauri sasa.Kabla hajawekeza simba si ilikuwa na vyanzo vya mapato? Unakumbuka simba alivyokosa ubingwa wa mapinduzi mwamedi alilakamika a natumia bilion moja kwa mwaka sasa hivi kaja na ngonjera ya billion tano
Duh ni kweli upo serious kwa hili swali lako?Hizo logo unaweza kuelezea zinamfaidisha vipi?