Wanataka kutoana roho kwa mali alizoacha marehemu baba yao General mbuge

Kwa mbuge, automatically hilo lingetokea, yule mzee pressure imemplekesha sana. Wanawake aliokua nao wote pasua kichwa. Mbuge mapema tu alikua anapoteza mali, alishinda kesi na mwanamke wake, three weeks mbele amefariki. Acha wagombee.
Kama alizaa na wanawake zaidi ya mmoja, ni ngumu sana kwa watoto kuongea lugha moja.
 
MATAJIRI WENGI WA KIAFRIKA WANA UTAJIRI USIYORITHIKA...
Mtu timamu lazima uwe na mpango wa kupigania URITHI kwa ajili ya kizazi chako kijacho...
Kwa siye ambao hatukurithi kitu ni kwamba wazazi walifeli kimaisha..
Mzazi unataka baadae mtoto akusaidie wakati maisha yake kayapigania from zero, hata kipande cha shamba hujamrithisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…