NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,298
- 2,514
Mzazi anaweza gawa mali katika upendeleo mkubwa,...hivyo wosia ukachukuliwa kama ni feki kwa baadhi ya warithi na hivyo kuto kukubaliwa na kudhua taharuki,.......ni vyema zaidi sheria ikawekwa juu ya mgawanyo wa mali, itakayo onyesha bayana baada ya mmiliki kufariki, mali zitagawanywa kama sheria itakavyo na si WOSIA,...... kiufupi sikubaliani SANA na wosia...Unaweza share experience tuone lakini Kuna namna inapunguza migogoro inategemea na familia