Wanataka kutoana roho kwa mali alizoacha marehemu baba yao General mbuge

Wanataka kutoana roho kwa mali alizoacha marehemu baba yao General mbuge

Daa kumbe hyu mwamba alishatembea,nakumbuka alikuwa mkuu wa kikosi ruvu jkt baada ya aliekuwepo kufa ghafla,wakat wa magu ndio akapanda vyeo fasta fasta sana,ilikuwa 2013 ruvu jkt nikiwa pale kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form 6,jamaa alikuwa kamanda kweli kweli.
 
Father Kavuta two month ago
 
Hii inaonesha waafrika wengi hatuandai watoto kusimamia miradi ya familia
[/QUOTE
Ngoja ni kujibu mkuu

Mtoto Ana miaka 22 Aya kampuni yako wafanyakazi wote ni above thirty Huyu mtoto yeye anawaza iPhone na kula piza unafikiri utamkabidhi madaraka kama hayo mkuu!

Kuwasimamia watu ambao ni wakubwa kwake
 
Tatizo hizo Mali baba yenu alizipata kwa njia halali?
Kama hakuzipata kwa njia iliyo halali,mali zinataka kurudi zilikotoka!
Unakuta ndio alizipata kwa njia halali Ila Sasa muda wote kuna Ile kauli mbiu jamani hao" bado watoto "🤣msiwaruhusu waingilie mambo ya wakubwa
 
MATAJIRI WENGI WA KIAFRIKA WANA UTAJIRI USIYORITHIKA...
Mtu timamu lazima uwe na mpango wa kupigania URITHI kwa ajili ya kizazi chako kijacho...
Kwa siye ambao hatukurithi kitu ni kwamba wazazi walifeli kimaisha..
Mzazi unataka baadae mtoto akusaidie wakati maisha yake kayapigania from zero, hata kipande cha shamba hujamrithisha.
Wabongo au waafrika nina uhakika hawakaagi na mali za urithi, zitauzwaga tu hata kama sio kwa shari. Ukikaa na waliobakia wazima, hawezi kukosekana hata mtu mmoja mwenye wazo la kupauza pale ili apate hela YA KUFANYA MAMBO YAKE eidha kula au mtaji wa biashara au kujenga kwake. Hapo ndo mchanganyiko wa urojo na kabeji unapoanzia
 
Back
Top Bottom