- Thread starter
- #41
Mwanangu hujakosea umepiga kwenye mshono kwenye mali za urithi huwa yupo mmoja ambae Ata taka vitu viuzweWabongo au waafrika nina uhakika hawakaagi na mali za urithi, zitauzwaga tu hata kama sio kwa shari. Ukikaa na waliobakia wazima, hawezi kukosekana hata mtu mmoja mwenye wazo la kupauza pale ili apate hela YA KUFANYA MAMBO YAKE eidha kula au mtaji wa biashara au kujenga kwake. Hapo ndo mchanganyiko wa urojo na kabeji unapoanzia