- Thread starter
- #61
Ndo tushaaminishwa hivo 🤣Kwamba elimu ndo urithi pekeeElimu siyo urithi, haijawahi kuwa urithi wala haitakaa iwe urithi
Biblia inatutaka tuwaachie urithi watoto wa watoto wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo tushaaminishwa hivo 🤣Kwamba elimu ndo urithi pekeeElimu siyo urithi, haijawahi kuwa urithi wala haitakaa iwe urithi
Biblia inatutaka tuwaachie urithi watoto wa watoto wetu
Kwaiyo ukipewa elimu mali za mzazi wako haitakiwi uzipambanie kumbe!! Alaa! Ndio najua leoHawa watoto kama walipewa elimu wanataka na Mali Tena!
Unaweza share experience tuone lakini Kuna namna inapunguza migogoro inategemea na familiakama ulikuwa hujui, wosia ndio chanzo kikuu cha migogoro....✍️
acha kutetea ujinga, jifunze kiswahili weweScreenshot matokeo yako ya NECTA ya somo la kiswahili na mimi niweke yangu...au ukiweza hata cheti kizima cha form 4.
Ndio wasomi hao wa shule za ghalamaWatoto wa kishua vilaza sana.
Huyo mwandishi.. ni kama mtu ambaye hajaenda shule.
Na hapo unakuta kasomeshwa expensive schools
Badala ya kumpa demand notice ya kisheria huyo wanaemdai... Wanaandika kwenye taarifa kwa uma kwamba tunakupa siku mbili uwe umelipa milioni 60.
Content zipo vuru vuru
Gharama✅ghalama❌Ndio wasomi hao wa shule za ghalama
Elimu ina gharama zake na huo ndiyo urithi kijanaElimu siyo urithi, haijawahi kuwa urithi wala haitakaa iwe urithi
Biblia inatutaka tuwaachie urithi watoto wa watoto wetu
Ebhanaeeeeee 🔥Wanawake ndio wanasumbua, mzee alichukua kabinti kadogo alipostaafu.
Unahisi Asia wenye ukwasi bongo wamepata Kwa haki?Unawaandaaje watoto wako kusimamia Mali za urithi,ulizozipata kwa dhulma?
Mbona hao watoto wa Mbuge hawagombani?Mali za urithi Zina mitihani sana. Mapema tu,marehemu ana miezi miwili ugomvi ushaanza
Hapa suala nalojiuliza, hivi wazee wetu wana desturi ya kuwashirikisha watoto wao kwenye masuala ya maamuzi hasa kwa vitu vyenye maslahi kama hivi??Mali za urithi Zina mitihani sana. Mapema tu,marehemu ana miezi miwili ugomvi ushaanza
Hapa suala nalojiuliza, hivi wazee wetu wana desturi ya kuwashirikisha watoto wao kwenye masuala ya maamuzi hasa kwa vitu vyenye maslahi kama hivi??
Au ndio awareness wanaipata mpaka baada ya mhusika kufariki??
Ifike wakati tuwe kama wahindi ambao huanza kurithisha biashara taratibu kiasi kwamba likitokea la kutokea tayari mtoto au mrithi anakuwa na ufahamu wa kutosha wa mali na namna ya kuenenda pasi na utata
NDUGU MSILALAMIKIEHapa suala nalojiuliza, hivi wazee wetu wana desturi ya kuwashirikisha watoto wao kwenye masuala ya maamuzi hasa kwa vitu vyenye maslahi kama hivi??
Au ndio awareness wanaipata mpaka baada ya mhusika kufariki??
Ifike wakati tuwe kama wahindi ambao huanza kurithisha biashara taratibu kiasi kwamba likitokea la kutokea tayari mtoto au mrithi anakuwa na ufahamu wa kutosha wa mali na namna ya kuenenda pasi na utata
N wakubwaInaelekea watoto hawajaandaliwa kusimama wenyewe. Walibebwa na ukuu wa baba.
Sasa wanahangaika. Na kama ni watoto wa Mama tofauti ndio balaa kabisa