Wanataka kutoana roho kwa mali alizoacha marehemu baba yao General mbuge

Daa kumbe hyu mwamba alishatembea,nakumbuka alikuwa mkuu wa kikosi ruvu jkt baada ya aliekuwepo kufa ghafla,wakat wa magu ndio akapanda vyeo fasta fasta sana,ilikuwa 2013 ruvu jkt nikiwa pale kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza form 6,jamaa alikuwa kamanda kweli kweli.
 
Father Kavuta two month ago
 
Kasongo yeyeeeeee ............


Tumeni picha ya mali zote na hoteli. Pia tumeni picha za watoto wake.
 
 
Tatizo hizo Mali baba yenu alizipata kwa njia halali?
Kama hakuzipata kwa njia iliyo halali,mali zinataka kurudi zilikotoka!
Unakuta ndio alizipata kwa njia halali Ila Sasa muda wote kuna Ile kauli mbiu jamani hao" bado watoto "🤣msiwaruhusu waingilie mambo ya wakubwa
 
Wabongo au waafrika nina uhakika hawakaagi na mali za urithi, zitauzwaga tu hata kama sio kwa shari. Ukikaa na waliobakia wazima, hawezi kukosekana hata mtu mmoja mwenye wazo la kupauza pale ili apate hela YA KUFANYA MAMBO YAKE eidha kula au mtaji wa biashara au kujenga kwake. Hapo ndo mchanganyiko wa urojo na kabeji unapoanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…