Mwanangu hujakosea umepiga kwenye mshono kwenye mali za urithi huwa yupo mmoja ambae Ata taka vitu viuzweWabongo au waafrika nina uhakika hawakaagi na mali za urithi, zitauzwaga tu hata kama sio kwa shari. Ukikaa na waliobakia wazima, hawezi kukosekana hata mtu mmoja mwenye wazo la kupauza pale ili apate hela YA KUFANYA MAMBO YAKE eidha kula au mtaji wa biashara au kujenga kwake. Hapo ndo mchanganyiko wa urojo na kabeji unapoanzia
Screenshot matokeo yako ya NECTA ya somo la kiswahili na mimi niweke yangu...au ukiweza hata cheti kizima cha form 4."ujui" ❌hujui✅
Unawaandaaje watoto wako kusimamia Mali za urithi,ulizozipata kwa dhulma?Hii inaonesha waafrika wengi hatuandai watoto kusimamia miradi ya familia
KabisaBiashara za ubia kwa waswahili ni kutafita kuuana tu hatuna ustaarabu huo
Inasikitisha sana mkuu, ngozi nyeusi tuna shida kubwa......mzazi kutwa kulalamikia watoto hawamsaidii wakati hakuna mali alizowarithisha na wao wanajitafuta from scratch.MATAJIRI WENGI WA KIAFRIKA WANA UTAJIRI USIYORITHIKA...
Mtu timamu lazima uwe na mpango wa kupigania URITHI kwa ajili ya kizazi chako kijacho...
Kwa siye ambao hatukurithi kitu ni kwamba wazazi walifeli kimaisha..
Mzazi unataka baadae mtoto akusaidie wakati maisha yake kayapigania from zero, hata kipande cha shamba hujamrithisha.
Subiria wako atangulie utayaona hayaMali za urithi Zina mitihani sana. Mapema tu,marehemu ana miezi miwili ugomvi ushaanza
Hawa watotoo Wana akili sana Mungu aawawezeshe mnooMali za urithi Zina mitihani sana. Mapema tu,marehemu ana miezi miwili ugomvi ushaanza
HUYU NDIE ALIEMUUA BABA YENU WANA NDUGU YAAN MKIWEZA MSHUGULIKIENI KIROHOO NA KIMWILI GAMNA JIJSIMali za urithi Zina mitihani sana. Mapema tu,marehemu ana miezi miwili ugomvi ushaanza
Hahaha mkuu nilisimamia show ya marehemu mzeeMali za baba yako ni mali zako pambaneni hadi tone la mwisho kuna ndugu wajinga sana.
Au gari bovu huvutwa na gari nzimaHa ha ha ! Naam kipolo huliwa na maji moto.
Mpaka ufe wanapewa asilimia 80 ya mejanjeneral WA sasa mshahara wakeKumbe ukiwa jenerali pesa niya kutosha eeh
kama ulikuwa hujui, wosia ndio chanzo kikuu cha migogoro....✍️Kazi kweli kweli....... Ni wachache waliofariki wenye status, Mali, na ukwasi sijasikia kesi za hivi....
Lakini walio wengi ni changamoto
Wanasheria tusaidieni kutoa elimu juu ya wosia na mirathi maake walio wengi hawafanyi hivyo na kuacha familia inateseka kwa kugombania Mali.....
secretarybird
Ili yakusaidiebniScreenshot matokeo yako ya NECTA ya somo la kiswahili na mimi niweke yangu...au ukiweza hata cheti kizima cha form 4.
Jidanganye mkuu hakuna kitu kama hicho wadhulumaji wanaishi miaka mingi Ila watu wema wanaishi miaka michacheHUYU MBWA MSOMEENI ZAB 109 SAA 12 JION SIKU 7
ANAMFWATA BABA YENU
Watoto wa kishua vilaza sana.
Huyo mwandishi.. ni kama mtu ambaye hajaenda shule.
Na hapo unakuta kasomeshwa expensive schools
Badala ya kumpa demand notice ya kisheria huyo wanaemdai... Wanaandika kwenye taarifa kwa uma kwamba tunakupa siku mbili uwe umelipa milioni 60.
Content zipo vuru vuru
Unaringia cheti mkuu 🤣Ebu nenda milembe kapimwe akili kijanaScreenshot matokeo yako ya NECTA ya somo la kiswahili na mimi niweke yangu...au ukiweza hata cheti kizima cha form 4.