Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Ndio maana nikasema kwa mwaume mjinga ndiye atakubaliana na upuuzi wako.Unadhani wanaume wote wanaakili sawa , wengine wake zao kupika ni hiyari yake sio lazima.
mke ni nani? na wajibu wake ni nini? pengine hata hujui umemezeshwa tu hukoWapo telee wasojua kusoma na wapo madarasa ya juu. Mtoto darasa la 4 hajui kusoma.
Hamjaoa watumishi bali wake.
Oohh!! Itabdi tuanzishe campeni ya kataa kuzalishwa halafu tuonehapo ndio utaelewa mwanamke ni msaidizi, sasa mwanaume kupata yao sio lazima aoe, mayai yapo mengi yanazagaa, wewe kama unafikiri kuzaa ndio kilichokupeleka kwa mwanaume futa
Hao wanaume sijui atawakuta wapi?Ndio maana nikasema kwa mwaume mjinga ndiye atakubaliana na upuuzi wako.
Siwezi kulelewa kimaadili ya wazazi nikakubali mwanamke aniletee mawazo kama yako nikakubali.
Haki sawa zinaishia majukwaani huko ukifika kwangu fata utaratibu.
Umesikia wewe bichwa
Mbona makasiriko😂 uwe na heshima kwa mkeo akikosea umwambie kwa hekima sio kumnanga hadharaniNdio maana nikasema kwa mwaume mjinga ndiye atakubaliana na upuuzi wako.
Siwezi kulelewa kimaadili ya wazazi nikakubali mwanamke aniletee mawazo kama yako nikakubali.
Haki sawa zinaishia majukwaani huko ukifika kwangu fata utaratibu.
Umesikia wewe bichwa
hutaweza mnavyopenda mihogo, utafeli, wenzako wanatafuta mwanaume wa kumpa mtoto, kuna wengine wako tayari kwa hiari yao kuwa michepuko wakitimiza majukumu yote ya ndoa, utafeli pakubwa sanaOohh!! Itabdi tuanzishe campeni ya kataa kuzalishwa halafu tuone
We ushaolewa?Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Tena wewe mimi ninakuweza. 😃Mbona makasiriko😂 uwe na heshima kwa mkeo akikosea umwambie kwa hekima sio kumnanga hadharani
Unaona sasa, kupika mnajua na kufua ila mnaowa sio kwasababu ya kupikiwa Bali kutimiza mahitaji ya mwili kihalali. Kwahy kupika haipo ingekuwa ni kwaajili hiyo msingeoaUmeandika ujinga, tunapokuja kuoa sio kwamba hatujui kupika au kifua nk no tunajua sana tungeweza kujifanyia wenyewe hayo, ila kutokana na majukumu inabidi uwe na msaidizi ambaye ni mke.
Sasa kama akiona kufanya hayo ni utumwa aondoke nifanye mwenyewe nikijua kuwa nipo bila msaidizi.
kuzaa ni kwa mwanamke yeyote sio mke tu, mbona una kichwa kigumu? hao waliozaa wanaitwa Singo Mothers wameolewa, pengine na wewe ni mmoja waoWajibu wake kuzaa, hata kulea sio jukumu lake sembuse kupika au kufua
umeshashindwa hata kabla ya kuanza, tafuta shughuli nyingine hilo hutawezaHuwezi kusema umeshindwa bila kujaribu.
Acha kukaza fuvu ,we unataka mmeo apike,afue ,aogeshe watoto ukiwa uko wapi? na unafanya nn?? Nyie ndio mnatafuta kuwa single mamiiWapi imeandikwa kufua, kupika ni jukumu la mke!?
Baada ya unene ukoo wenu unaongezeka, usijisahaulishe
Imeenda panapouma mama, pole lakini😂Don't judge a book by it's cover. Maana sio kwa povu Hilo