Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa!

Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna chochote.

Porn movies zimewaathiri wengi wenu, hivyo mnaiga kila kitu!

Mwanamke anataka kuridhishwa na siyo makofi.

Nadhani mmenielewa wanaume wote.
Si wengi wenu mnalipwa na kuhudumiwa , mmefanya mapenzi ni biashara mtafanywa chochote na mlipaji mteja ni mfalme. Communication is between lovers only,
 
Mlongo ni kweli..!! Sasa kilele kipo Arusha, mimi naelekea Arusha, wewe unaelekea Mtwara, UTAFIKA KWELI? Na ndo ilivyo kwenye uhalisia. Na ndiyo maana wanawake wote wasipofika kilele ANALAUMIWA MWANAUME.

CHA KUSHANGAZA VIBOMBA WANAVIPA USHIRIKIANO NA WANAVIELEKEZA PALE PANAPOWAFIKISHA KILELE NA WANAFIKA. LAKINI KWA WANAUME WANAELEKEA MTWARA WAKATI KILELE KIPO ARUSHA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mlongo unanivunja mbavu huku, uwiiiiiih
 
Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa!

Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna chochote.

Porn movies zimewaathiri wengi wenu, hivyo mnaiga kila kitu!

Mwanamke anataka kuridhishwa na siyo makofi.

Nadhani mmenielewa wanaume wote.
[emoji3][emoji3]
 
Lazima uumie mjukuu wangu,

Vikalio vyenyewe vya kichaga, si atachapa hadi mfupa, pole


Wanaume wanaangalia wenzao wakichapa wadada wale wenye mikalio mikubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie kwaninii lakinii??
 
Usinitafute tafadhali Sina muda na wewe unabadili ID Kisa hutaki kuona nipo humu nitakuwa humu penda usipende .. so wewe ni mwanamke ambaye hutaki wenzako wapewe comment nzuri, hupendi watu wataniwe , wafurahi humu kitakuuma mpaka ufee. Mie Kwa taarifa yako usinilazimishie niwe mwanaume kama wewe unataka kamfanye ndugu Yako wakike awe mwanaume halafu mwiite unique flower kila saa mtanitag mpaka ili mpate madanga akuu kufa na hali yako halafu kama hupendi amani mie na taka so kama maana mpo wengi hamnitaki huku mtaniona , mtanisikia hadii siku sitaki Tena kuingia humu na Wala sikuogopi , siwaogopi timu yenu ya umaskini. Fuateni maisha yenu sio yangu
Ahsanteeee Da maua, pita kwa Mangi chukua chochote, bill juu yangu. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kamdudu kameamka huko kwao kana hasira zake ananisumbua mara IT'S PLENTY nimekaa kimya mara dume sijui what halafu saivi SIPENDI AMANI kanafungua viushenzi vyake kanaongea shitt muda waote namwambiaje huyu ni libini Fulani lizee halitaki linione humu jf mtaniona tu ambaye hataki kuniona na afe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom