900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Tunataka kale kamtetemo, ila kama unapigwa makofi tako halafu unatetema hatakama hufikishwi inakuwa mzuka flani amazing kwa kidumeSijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa!
Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna chochote.
Porn movies zimewaathiri wengi wenu, hivyo mnaiga kila kitu!
Mwanamke anataka kuridhishwa na siyo makofi.
Nadhani mmenielewa wanaume wote.