Kusema kwamba tunakufa mapema sio factor pekee tu, hata ukienda mahospitalini watoto wa kike ndo wanazaliwa wengi kuliko wanaume, n hii ni biological nature
Human factor ndo zinafanya hiyo differences lakini nature factor siku zote wanawake ni wengi kuliko wanaume, case study ni hapa kwetu ambapo nature factor inatake place, wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa sababu sisi hatuna vita wala sera ya abortion kwa watoto wa kike
Myth according to your opinionAlichoeleza mleta uzi ndio sahihi, wewe mawazo yako ni myth tu.
Human factor ndo zinafanya hiyo differences lakini nature factor siku zote wanawake ni wengi kuliko wanaume, case study ni hapa kwetu ambapo nature factor inatake place, wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa sababu sisi hatuna vita wala sera ya abortion kwa watoto wa kike
Human factorWanaume wengi zaidi wanakufa kwenye ajali kwa sababu ndio wanasafiri zaidi pia kazi ngumu na za hatari, uvutaji sigara, unywaji pombe uliopilitiza n.k
Human factor not natureLini umewahi kusikia jambazi au panyaroad wa kike wameuwawa??
Tulia we pasco mayallaHiyo ni nature wewe
Hata Wanyama pori ni hivyo hivyo
Hapo ni simple shetani anaua wanaume ili uzao usikuwepo,lazima yatimie maandiko
Mleta mada yuko sahihiMyth according to your opinion
According to your opinionMleta mada yuko sahihi
Kuchelewa kufa hakumaanishi hufi, wala hakuoneshi kuwa wewe uliyechelewa ni mjanja kuliko aliyekutangulia. Vinginevyo tambua kuwa moja ya sababu ya vifo vya wanaume ni wanawake wenyewe.Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao,...
Huyu anaishi dunia ya peke yake.Kusema kwamba tunakufa mapema sio factor pekee tu, hata ukienda mahospitalini watoto wa kike ndo wanazaliwa wengi kuliko wanaume, n hii ni biological nature
Hapa uko sahihiSiyo ishu lkn haibadilishi ukweli kwamba Wanawake wanaishi miaka 5 zaidi ya wanaume kwa wastani, hivyo kuna Wajane wengi klk Wagane!
Wivu wako tu unakusumbua aisee! Tafuta pesa kila kitu kitakuwa sawaTakwimu za idadi ya Watu zilizotolewa na Serikali ya Tanzania zinaonyesha kwamba idadi ya wanaume na wanawake haipishani sana , wanaume mil 30 na akina mama ni mil 31 ...
Takwimu za idadi ya Watu zilizotolewa na Serikali ya Tanzania zinaonyesha kwamba idadi ya wanaume na wanawake haipishani sana , wanaume mil 30 na akina mama ni mil 31...
Mwanume unapambana unatafuta mke unatengeneza familia na mnapata watoto, unapambana kuwapeleka shule kwa maumivu makubwa ila wakishamaliza vyuo na kuanza kupata kazi na vibarua Mwanaume unaanza kuonekana ni mzigo nyumbani kwako inatafutwa kila njia uondoke ukafilie mbali utajua mwenyewe. Baba yetu Adamu kukubali kushawishiwa na mkewe kula lile tunda inatugharimu sana mpaka leoHi!
Mwaka 2015 rasmi nilianza maisha ya kupanga ghetto...