Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

Wanaume wengi zaidi wanakufa kwenye ajali kwa sababu ndio wanasafiri zaidi pia kazi ngumu na za hatari, uvutaji sigara, unywaji pombe uliopilitiza n.k
Human factor ndo zinafanya hiyo differences lakini nature factor siku zote wanawake ni wengi kuliko wanaume, case study ni hapa kwetu ambapo nature factor inatake place, wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa sababu sisi hatuna vita wala sera ya abortion kwa watoto wa kike
 
Lini umewahi kusikia jambazi au panyaroad wa kike wameuwawa??
Human factor ndo zinafanya hiyo differences lakini nature factor siku zote wanawake ni wengi kuliko wanaume, case study ni hapa kwetu ambapo nature factor inatake place, wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa sababu sisi hatuna vita wala sera ya abortion kwa watoto wa kike
 
Shetani ndiye anayewafanya wanaume kuwa majambazi na panyaroad zaidi kuliko wanaume?
Shetani ndiye anayewafanya wanaume kufanya kazi za hatari kuliko wanawake?
Hapo ni simple shetani anaua wanaume ili uzao usikuwepo,lazima yatimie maandiko
 
Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao,...
Kuchelewa kufa hakumaanishi hufi, wala hakuoneshi kuwa wewe uliyechelewa ni mjanja kuliko aliyekutangulia. Vinginevyo tambua kuwa moja ya sababu ya vifo vya wanaume ni wanawake wenyewe.

Wingi wa wanawake ni asili tu (nature). Fikiria tangu kutungwa kwa mimba, uwezekano wa kupatikana kwa mtoto wa kike ni mkubwa zaidi kuliko wa kiume.

Huko ulikosomea primary, ni kina nani walikuwa wengi darasani?
 
Kusema kwamba tunakufa mapema sio factor pekee tu, hata ukienda mahospitalini watoto wa kike ndo wanazaliwa wengi kuliko wanaume, n hii ni biological nature
Huyu anaishi dunia ya peke yake.
Afanye utafiti wa nyumba 10 tu kuhusu watoto wa kike na wa kiyme.
Ataona watoto wa kike ni wengi zaidi.

Katika uzazi ni rahisi sana kutunga mtoto wa kike kuliko wa kiume, hii ni biology ya f3 wakuu haihitaji hata elimu kubwa
 
Takwimu za idadi ya Watu zilizotolewa na Serikali ya Tanzania zinaonyesha kwamba idadi ya wanaume na wanawake haipishani sana , wanaume mil 30 na akina mama ni mil 31 .

Sasa kwa idadi hii , kama tutaruhusu wanaume wenye tamaa kuoa wanawake wawili , watatu ama wanne , iko hatari ya Wanaume wengine kukosa wake .

Iko haja ya kuzuia mwaume kuoa wake wengi .

Nakala : Haji Manara
 
wanaume na wanawake wanazaliwa kwa uwiano sawa, tena kwa miaka ya karibuni watoto wa kiume wanazaliwa wengi sana, watoto wengi wa kiume wanaishia kipindi cha baleghe, pita majalalani uone idadi ya watoto wa kiume waliokimbia makwao utastaajabu, bangi, pombe wizi vyote kwao, mara nyingi watoto wa kike ni waoga ni biashara moja tu hatarishi kwao (ukahaba)ambayo haileti vifo sana.hapo ndipo uwiano unaanza kupotea.
 
Takwimu za idadi ya Watu zilizotolewa na Serikali ya Tanzania zinaonyesha kwamba idadi ya wanaume na wanawake haipishani sana , wanaume mil 30 na akina mama ni mil 31 ...
Wivu wako tu unakusumbua aisee! Tafuta pesa kila kitu kitakuwa sawa
 
Takwimu za idadi ya Watu zilizotolewa na Serikali ya Tanzania zinaonyesha kwamba idadi ya wanaume na wanawake haipishani sana , wanaume mil 30 na akina mama ni mil 31...

Je, katika hao mil31 na mil30, rika la wanaoolewa na kuoa limetajwa?
 
Hi!

Mwaka 2015 rasmi nilianza maisha ya kupanga ghetto...
Mwanume unapambana unatafuta mke unatengeneza familia na mnapata watoto, unapambana kuwapeleka shule kwa maumivu makubwa ila wakishamaliza vyuo na kuanza kupata kazi na vibarua Mwanaume unaanza kuonekana ni mzigo nyumbani kwako inatafutwa kila njia uondoke ukafilie mbali utajua mwenyewe. Baba yetu Adamu kukubali kushawishiwa na mkewe kula lile tunda inatugharimu sana mpaka leo
 
Back
Top Bottom