Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
naona ushamchoka mbwa wako 😂 😂Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.
Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!
Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.
N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!
Kuna kadada kaliachika fasta baada ya kutoa ushauri wa kujenga. kajitu hakachangii chochote kwenye pato la familia,ni mama wa nyumbani, hiyo nguvu ya kushauri/kulalamika unaitoa wapi
ukute hata hujui mumeo kipato chake kikoje, ni unaassume tu
in the first place ulikubalije kuolewa na mlevi
kama watoto wanasoma na mnakula vizuri ,shukuru Mungu
vinginevyo omba talaka uende kwa mbwa mwingine mwenye nafuu, utapata pressure bure na huyo mbwa wako wa sasa