Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Nilikuwa nae nikiwa na miaka 21. Ulitegemea nipate division one? Mbona form four nilipata division two. Aliniharibia maisha Sasa ajenge nyumba roho yangu itulie
Unasemaje uliharibiwa maisha na wewe haukuharibu ya kwake? Kweni ulikua na faili Milembe kwamba ulifanya jambo pasipo kujua?
 
Hivi mtoto wa form five anaelewa Nini? Alikua senior si angesubiri nimalize chuo?
 
Ungekua huelewi chochote usingefika hapo form five aisee, acha visingizio, mi natambua kweli wako watu hujiingiza kwenye mahusiano na mmoja kati yao mambo huharibika au hushindwana na kuishia kujuta, yako mawili kujuta au kufurahia, kama angekua sawa kimaisha na akakubeba ktk maisha yako ndo ungekuja na mada ya kumsifia? Kiufupi sioni hoja yako ya msingi hapa zaidi ya wewe kujipiga kifua na kusonga mbele, form five ulikua tayari unajua nini faida ya shule bhana
 
Naijua ndio ila PCB haikutaka ujinga niliokua nafanya plus hela za hapa na pale. All in all ananipenda kosa lake ni hilo la matumizi ya pesa bila mpangilio
 
"Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo." Wanawake wote ua wanaamini mwanaume ndo ua anaanza kufa
 
Back
Top Bottom