Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

Wewe uliolewa kwa bahati mbaya maana huna sifa za kuwa mke. Mke gani badala ya kumrekebisha mtu wako unaanika udhaifu wake hadharani? Halafu unasema mume akifa hao watoto wataenda wapi? Unajuaje hutaanza wewe kufa? Ovyoooooo.....
Ndo nishaolewa Babu upo?
 
Hela zangu Hadi matumizi uniapngie.
Yes. Au nilipe mshahara Kwa kukuzalia kinachobaki kwako ni juu yako. Kwa mfano nilipe laki Tano tu kwa mwezi. Chakula na matumizi mengine ni juu yako. Nyie hamjui kubeba mimba, uchungu wa leba na kunyonyesha daily vinafananaje
 
1.We unajua uchungu wa kutafuta kama kidume?
2.Unajua uchungu wa kutoboa maisha kama kidume?

Empty set 🚮
 
Nilikuwa nae nikiwa na miaka 21. Ulitegemea nipate division one? Mbona form four nilipata division two. Aliniharibia maisha Sasa ajenge nyumba roho yangu itulie
Huna akili unasomaje A level ukiwa na miaka 21 huo si umri wa chuo... No wonder akili zilianza kupungua.

Na kuhusu kugongana mbona watu tumegongana na tunaendelea kugongana na kutoboa kupo au nikuwekee uthibitisho. Tena hizi kombi za science. PCM kabisa na one tukashusha na mademu zetu. We mwenzetu ulikuwa huwezi kufocus au 😆😆😆.

Kwaiyo we kukojolewa ndo akili za kusoma PCB zikapotea heri hata ungepiga 3. Ya kuokoteza. Ningekuona wa maana.

Yaani umepoteza miaka 2 kisa kukojolewa 🚮🚮🚮🚮.

Namshukuru Mungu kwa kukupa mume mjinga. Nakuombea unyooshwe mpaka akili za kutafuta ziwajie nyie si mnajikutaga super women 🤣🤣🤣🤣🤣.

Huna lolote. Yaani kuzaa kama sungura ndo ulipwe ww ni nani by the way 🚮.

Wenzako wanaozalishwa na kuchakarika wasemaje tena unaweza kuta na ku quote kumbe we ni mbovu wa sura mpaka umbo. Achilia mbali tabia. Akili zako ni ndogo sana.

Na hiyo clinical officer utaisikilizia kwenye pipa.

We zubaa tu miaka 30 hiyo.... Inakusubiria kwenye kona alafu ikukute umejikalisha kama ngedere 🐒🐒🐒🐒🐒🐒.

(Kipapa kimetafunwa kama mchwa, umefubaa, elimu huna, mtaji huna, idea huna)

Ndipo utapojua maji ni juisi 😆😆😆😆😆😆

Acha dawa ikuingie vyedi
 
Huwezi OA au olewa na MTU ambaye hamjafanana. Hiyo haijawahi kutokea.
Ndoa ni mchakato.
Labda iwe ilikuwa Forced marriage. Lakini kama mlikubaliana basi ni wazi ninyi ni pipa na mfuniko.
Wote Akili zenu ni zilezile. Sio wewe wala huyo Mumeo wote ni hamnazo.

Kwa mfano, ili wewe tujue ni kichwa Bomu, kagarasa, cherema n.k. unasema anakubebesha Watoto utadhani wewe ni mbumbumbu, usiyejua chakufanya.
Unazalishwaje Watoto pasipo wewe kuamua?
 
Nimeolewa mwaka wa Saba mwanaume hakuna maendeleo na pesa anapata zinapoenda anajua mwenyewe. Akinunua vitu vya ndani anajiona kafika.

Kazi kulalamika apelekewe maji bafuni kwenye ndoo badali ajenge maji yatiririke kutoka juu au aoge amelala!

Kutwa pombe na mahawara. Hawa watoto anaonizalisha wataenda wapi akifa. Vitambi na kulipa kodi sio maendeleo.

N.b: Nimedit. Ila wenye hivyo vitabia acheni mpo humo humo msinitolee mapovu! Unaoa mwembamba kama fimbo halafu mnakuja kurelax na kusahau ahadi zote!

[emoji23][emoji23][emoji23]hii inaitwa nitakufa na vyangu, nawe baki na vyako(watoto)[emoji23][emoji23]
Kwani yeye hapo alipo baba yake kamwachia nini?
Mzee katafuta vyake na anakula vyake hana huoga wa maisha hana haraka sa we unamletea habari za kufa we unajua kifo wewe[emoji16]

Usilete kisingizio cha watoto watoto niwewe ulifungua mapaja na unajua upo danger so ulitaka mwenyewe, ukweli ni kwamba unaona mkeka unaelekea kuchanika alafu zimebaki dakika chache[emoji16]

Ayo matoto yenyewe yakishakua hua yanatutenga wazee yanajali mama zao sa yaninj kujipa jaka la moyo kisa mitoto iyo, itakua kama sisi baba zao tulivyokua[emoji41]

Mzee yupo sawa as long as we unakula unavaa na wanao na mkiumwa wanatibiwa we shida yako nini? Maendeleo kila mtu anatafsiri yake kama unaona hawezi kukupa unachohitaji omba taraka ondoka alafu uje ukute kavuta kadada kengine kakidigo kanampelekea maji ya moto bafuni ndo anakuja kujenga nako bonge la jumba na vinapenda kumassage ivo[emoji23][emoji23]
 
Hahaha sawa, Sasa kama alinioa ulitaka nifunge mapaja? Watoto ni haki yake ila naona nimeingia choo Cha kiume na kutoka siwezi
 
Huwezi OA au olewa na MTU ambaye hamjafanana. Hiyo haijawahi kutokea.
Ndoa ni mchakato.
Labda iwe ilikuwa Forced marriage. Lakini kama mlikubaliana basi ni wazi ninyi ni pipa na mfuniko.
Wote Akili zenu ni zilezile. Sio wewe wala huyo Mumeo wote ni hamnazo.

Kwa mfano, ili wewe tujue ni kichwa Bomu, kagarasa, cherema n.k. unasema anakubebesha Watoto utadhani wewe ni mbumbumbu, usiyejua chakufanya.
Unazalishwaje Watoto pasipo wewe kuamua?
Maybe. Silalamiki kuzaa nasema tu hali halisi naona hatuna security ya maisha
 
Nilitaka na Mimi niyaone naona ushayatoa hahaaa
Screenshot_20230216-061916_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom