Wanaume chatterbox; mwanaume gani unaongea sana kama mwanamke bhana

Wanaume chatterbox; mwanaume gani unaongea sana kama mwanamke bhana

Moana mabinti warembo wawili wameshaanza kuchambana katika Uzi huu.

Japo Sina uhakika kama kweli ni wanawake.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100


Humu jamii forum tu wanaume tupo wachache sana hatuzid asilimia 1 na wavulana wajinga wajinga wapo karibu asilimia 99.53

Angalia katika mada wanazoanzisha hawa wanawake wa humu ndani ambao hatuna uhakika na jinsia zao hata kama ni za kipumbavu kiwango cha rami basi utakuta vivulana tele vinajipendekeza kwenye uzi, unakuta uzi wenye mambo ya maana unakaa siku 4 uncomment 20 tu

Lakn ngoja malaya apost sasa dakika 30 tu comment 200+

Na wachangiaji asilimia 90 katika huo uzi ni vivulana zsivyojtambua vinuka mkojo

Monetary doctor ndo kiongoz wao

Inasikitisha
 
Back
Top Bottom