Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka sasa dhana hizo zipo.
Dhana potofu kama;
1. Wanawake ni wambea kuliko wanaume.
Ukweli ni kuwa wanaume ni wambeya tena zaidi ya wanawake.
Asilimia tisini ya wanaume wanaokaa vijiweni ni wambeya, hakuna kitu cha maana watajadili zaidi ya kuteta watu, majungu, Fitna na umbeaumbea.
Ukweli unatabia ya kuchelewa lakini ukifika unakupa majibu. Angalia huko mitandaoni na media kati ya wanawake na wanaume wapi wanaendesha vipindi vya umbea kuwazidi wengine. Jibu ni wanaume. Hasa wale Beta Male.
Kumbuka Alpha Male siku zote ni wachache. Na hao ndio wanaume kamili.
2. Wanawake wanaongea sana kuliko wanaume. UONGO MKUBWA.
Wanaume wengi ambao ni Beta Male, huongea sana kuliko wanaume.
Ni ma-chatterbox, waropokaji, wanaongea ongea maneno mengi bila sababu ya maana.
Alpha Male huwezi mkuta anaongea ongea maneno mengi kama mwanamke.
Angalia kwenye mipira huko ukute mashabiki wa mpira wanavyopiga piga makefile na kuongea ongea na kubishana kama watoto. Huwezi mkuta mwanaume Alpha Male, dume la Simba akawa anapiga piga makelele kama mtoto wa shule ya msingi.
Mwanaume halisi na mwenye power utamuona kwenye mazungumzo yake, anaongea kwa utulivu, bila kelele, bila kurusha rush mikono kama anachambana, bila kucheka cheka kama mwendawazimu.
Kijana huyo ndiye mwanaume.
3. Wanaume wanakoromeo. Sio wote Labda Alpha Male ambao ni wachache sana. Yaani 1 kwa kumi.
Mtu akishakuwa mbea, anakaa vijiweni, anamarafiki wengi kama mwanamke, anapenda kujiongelesha hovyohovyo, anataka kuongea na kila mtu. Anashoboka kila sehemu anataka kuonekana. Huyo hawezi kuwa na kifua, koromeo.
4. Wanaume wapo Really, hao ni Alpha Male tena wachache sana.
Lakini mwanaume yeyote ambaye anajipendekeza pendekeza popote pale, iwe kazini, kanisani, misikitini, kwa mkewe, ukweni, siasani, lazima awe mnafiki. Kujipendekeza na unafiki vinaenda sambamba.
Kinachofuata ni majungu sasa. Wanaume wahivi wengi ni waoga. Hushindwa kum-face mtu usoni na kumchana makavu.
Hawa hata kuwa Baba hawawezi kwa sababu hawana uwezo wa kusimamia ukweli.
5. Wanawake hawataki kupitwa na fasheni, hata wanaume wengi Beta Male wapo hivyo.
Mwanaume kamili mara nyingi huwa na msimamo. Sio mtu wa kufuata mkumbo na kuendeshwa na fasheni.
Sijui imekuja macho matatu nawe umo. Imekuja katalogi fulani umo. Hizo ni tabia za kike na tabia za kitoto.
Wanawake ndio hawataki kupitwa na kitu kwani wao wanaendeshwa
Nimemaliza. Wale chatterbox mrushe ngumi. Kubadilika sio lazima kwani najua hamuwezi.
Mwanaume gani unaongea sana kama mwanamke bhana
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam