Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Kwenye fashion najipenda balaaaaaaah Alpha wala beta haitanisaidia kitu mimi cha msingi misimamo ya kiumeni tuu
Dotto Magari
Unakuta mishipa imemtoka inataka kupasuka, anachoongea ni propaganda hazina faida yytHasa kupiga piga kelele bila utulivu na umakini
Kabisa na ni wataalamu wa kutengeneza urafiki na mtu ili kumchunguza na kwenda Kupiga umbea
Tafuta hela kaka
😂
Mwanaume ana nguo nyingi kama mwanamke, najazia tu
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100
Humu jamii forum tu wanaume tupo wachache sana hatuzid asilimia 1 na wavulana wajinga wajinga wapo karibu asilimia 99.53
Angalia katika mada wanazoanzisha hawa wanawake wa humu ndani ambao hatuna uhakika na jinsia zao hata kama ni za kipumbavu kiwango cha rami basi utakuta vivulana tele vinajipendekeza kwenye uzi, unakuta uzi wenye mambo ya maana unakaa siku 4 uncomment 20 tu
Lakn ngoja malaya apost sasa dakika 30 tu comment 200+
Na wachangiaji asilimia 90 katika huo uzi ni vivulana zsivyojtambua vinuka mkojo
Monetary doctor ndo kiongoz wao
Unakuta mishipa imemtoka inataka kupasuka, anachoongea ni propaganda hazina faida yyt
Hao ndivyo wale Ladies & gentlemen/ mabibi na mabwanaAnakuambia yupo kazini. Umbea siku hizi ni kazi inafanywa na wanaume.
Mwanaume gani Anakosa aibu
Hasa machawa,Asilimia tisini ya wanaume wanaokaa vijiweni ni wambeya, hakuna kitu cha maana watajadili zaidi ya kuteta watu, majungu, Fitna na umbeaumbea.
sijaelewa sana kuhusu fasheni ila nikiwa financially vzr ntavaa vzr pia labda kuvaa brand sina hela na kuvaa sare siwezi mzee,Kuendeshwa na fasheni kwa mwanaume ni hapana. Hasa ukishakuwa mkomavu