zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Aisee wanaume najua wengine hapa mpo kwenye mahusiano na wengine ndo bado wanatarajia kuoa.
Huwa vijana wana shauku sana pindi wanapotaka kuoa na huwa na mapendekezo mbalimbali juu ya wanawake watakao taka kuwaoa/kuwa nao kwenye mahusiano.
Na ule usemo wa mwanamke sio sura ni tabia haujawahi waacha salama wengi hawakubaliani nao kabisa. Ila kuna mambo mbali mbali ambayo wanaume huzingatia. Wengine huzingatia uzuri wa sura au shape...
Wengine huenda mbali zaidi na kutaka wanawake wataokuwa nao kwenye ndoa/mahusiano wawe na kiwango fulani cha elimu utaskia "Mi sioi demu wa elimu ya form 4"
Wapo ambao hadi makabila wanazingatia eti akiwa mzigua basi lazima mwanamke naye awe mzigua.
Na wale ambao wanazingatia umri eti mwanamke akiwa anamzidi umri hawezi kuwa nae.
Wengine ndo wanakwambia akiwa mcha Mungu na mwenye tabia njema. Inatosha.
Ila kwa mfano Mimi ntazingatia mrembo na mzuri yaani nioe mtu anafanana na Ebitoke hata Kama anatabia nzuri duh!