zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
- #21
Tausi kale kafupi ukimwambia huyu jamaa akaoe sijui atakubalisubscribed [emoji106]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tausi kale kafupi ukimwambia huyu jamaa akaoe sijui atakubalisubscribed [emoji106]
😅😅moyo wake Kama kamwelewa anavuta ndani tu.Tausi kale kafupi ukimwambia huyu jamaa akaoe sijui atakubali
The boss againAttractions is not a choice ..
Ukianza hesabu sababu za kumpenda mtu
Ujue hujampenda..
Unapompenda mtu kiukweli hata sababu huwa huzijui..inatokea tu
Kumbe ebotoke mbaya,Aisee wanaume najua wengine hapa mpo kwenye mahusiano na wengine ndo bado wanatarajia kuoa.
Huwa vijana wana shauku sana pindi wanapotaka kuoa na huwa na mapendekezo mbalimbali juu ya wanawake watakao taka kuwaoa/kuwa nao kwenye mahusiano.
Na ule usemo wa mwanamke sio sura ni tabia haujawahi waacha salama wengi hawakubaliani nao kabisa.
Ila kuna mambo mbali mbali ambayo wanaume huzingatia
Wengine huzingatia uzuri wa sura au shape...
Wengine huenda mbali zaidi na kutaka wanawake wataokuwa nao kwenye ndoa/mahusiano wawe na kiwango fulani cha elimu utaskia "Mi sioi demu wa elimu ya form 4"
Wapo ambao hadi makabila wanazingatia eti akiwa mzigua basi lazima mwanamke naye awe mzigua
Na wale ambao wanazingatia umri eti mwanamke akiwa anamzidi umri hawezi kuwa nae
Wengine ndo wanakwambia akiwa mcha Mungu na mwenye tabia njema. Inatosha..
Ila kwa mfano Mimi ntazingatia mrembo na mzuri yaani nioe mtu anafanana na Ebitoke hata Kama anatabia nzuri duh!
Bila shaka mtakula hayo matako siku ukifuliaMi huwa naangalia chura, chura, chura chura churaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hata Kama utampenda kwa ujumla kipo ambacho kitakuwa kinakuvutia zaidiMpende mwanamke kwa ujumla wake na wala si kkwa sifa moja moja.
Ukimpenda kwa sifa moja basi uda si mrefu atatokea wa kumzidi.
Ukimpenda kwa ujumla wake ni vigumu sana kutokea mwanamke mwingine mwenye
sifa za huo ujumla maana huyo mwanamke mwingine anaweza kumzidi mpenzi wako kwa
sifa moja ila akashindwa kwenye sifa nyingine.
hata Kama utampenda kwa ujumla kipo ambacho kitakuwa kinakuvutia zaidi
Unadhani now days kuna upendo wa kweliupendo wa kweli hauna sababu bali hutokana na natural desire ila ule upendo wa matamanio ndo watu huweka vigezo kama chura, fiqure, sura na nk... huu upendo mara nyingi hudum kwa muda mfupi na upendo special kwa kustarehe pekee
Mimi niliangalia....
1. Akili ya mke wangu anaweza kufanya rational judgement/decision
2. Tako laini lisiwe kubwa sana au dogo maana sipendi tako kubwa halafu gumu kama bumunda
3. curvy mwili wastani na hana dalili ya kufutuka
4. msafi kiujumla
5. nikiongozananae niko comfortable
Kumbe bado hujaoa??.Una miaka mingapi kwani??.Kama ana K bc me naoa.
Kama ana sura mzuri bc me naoa, sitaki mwnye sura ngumu mana ntashindwa kumvutia hisia.
Kama ana tako la kuombea mkopo bank ntaoa.
Kama ni mweusi ntaoa.
Huyo anafanana na mke wangu.Mimi niliangalia....
1. Akili ya mke wangu anaweza kufanya rational judgement/decision
2. Tako laini lisiwe kubwa sana au dogo maana sipendi tako kubwa halafu gumu kama bumunda
3. curvy mwili wastani na hana dalili ya kufutuka
4. msafi kiujumla
5. nikiongozananae niko comfortable
Upendo wa kweli upo na utaendelea kuwepo pia upendo wa kweli huja direct na hauna mahusiano na kutamaniUnadhani now days kuna upendo wa kweli
Lakini unahisi unaweza penda Kabla ya kutamani
Unadhani now days kuna upendo wa kweli
Lakini unahisi unaweza penda Kabla ya kutamani