Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Upeo wa mlubwa uko hivi;Upeo mkubwa kivipi[emoji848]
1. Sio mfujaji wa pesa.
Mfano mnachagua location kwamba mtoke kwenda wapi....mjinga kila aiku atataka mwende hotel ya nyota 4 na 5 mkatumie zaidi, lakini mwenye upeo mkubwa atataka mwende maeneo yasiyo ghali kila mara ili maevu peaa kwa ajili ya maendeleo ma future yenu.
2. Anayeweza kuelewa kuwa nyakati hazifanani kuwa kuna wakati unakwama.
3. Atata akufanye mwenye furaha kila wakati, pamoja na yeye kutaka umfanye mwenye furaha lakini pia nawe pia
4. Anayejitunza na kuridhika na mahusiano yenu