Wanaume ehh! Hivi Huwa mnazingatia/mlizingatia nini zaidi ili kumpenda Mdada/Mwanamke?

Mke ni yule mwanamke ambae moyo wako umeridhika nae kwa [emoji817]% . Na huwa anakuja sehemu usiyotarajia kabisa...na ikiwezekana unakuwa huna mawazo ya mwanamke wakati huo!

Ukileta vigezo vyako lazima vikinzane na vigezo vingine vya nature!

Anyway kila la kheri!
 
Sasa Ebitoke...Ni mbaya?...mbona mnashida nyie ...yule Ana ubaya gani?
 
Kumbe ebotoke mbaya,


Kigezo cha umri NI muhimu sana mwanamke unatakiwa umpite hata miaka 10 kwa sababu mkija kuzeeka mwanamke atawai kuzeeka kabla yako hii itasabisha ww na ezee wako uwanze kutafuta pa kuponea maana mwanamke akizeeka hawezi tena kutumika,ndio maana mnashauliwa kuowa wanawake waliwazidi umri
 
Mi huwa naangalia chura, chura, chura chura churaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
My wangu huko ulipo naomba uwe na kitobo
Wale mnaosema taccle je mtakula hayo matako?
 
Mi huwa naangalia chura, chura, chura chura churaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Bila shaka mtakula hayo matako siku ukifulia
 
Mpende mwanamke kwa ujumla wake na wala si kkwa sifa moja moja.
Ukimpenda kwa sifa moja basi uda si mrefu atatokea wa kumzidi.
Ukimpenda kwa ujumla wake ni vigumu sana kutokea mwanamke mwingine mwenye
sifa za huo ujumla maana huyo mwanamke mwingine anaweza kumzidi mpenzi wako kwa
sifa moja ila akashindwa kwenye sifa nyingine.
 
Hata Kama utampenda kwa ujumla kipo ambacho kitakuwa kinakuvutia zaidi
 
Upendo wa kweli hauna sababu bali hutokana na natural desire ila ule upendo wa matamanio ndo watu huweka vigezo kama chura, fiqure, sura na nk... huu upendo mara nyingi hudum kwa muda mfupi na upendo special kwa kustarehe pekee
 
upendo wa kweli hauna sababu bali hutokana na natural desire ila ule upendo wa matamanio ndo watu huweka vigezo kama chura, fiqure, sura na nk... huu upendo mara nyingi hudum kwa muda mfupi na upendo special kwa kustarehe pekee
Unadhani now days kuna upendo wa kweli

Lakini unahisi unaweza penda Kabla ya kutamani
 

Niliangalia akili, na mwili kidoogo!
 
Kama ana K bc me naoa.

Kama ana sura mzuri bc me naoa, sitaki mwnye sura ngumu mana ntashindwa kumvutia hisia.

Kama ana tako la kuombea mkopo bank ntaoa.

Kama ni mweusi ntaoa.
Kumbe bado hujaoa??.Una miaka mingapi kwani??.
 
Huyo anafanana na mke wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…