Wanaume ehh! Hivi Huwa mnazingatia/mlizingatia nini zaidi ili kumpenda Mdada/Mwanamke?

Mimi awe mtamuu tu basiii

Sent using mt4 app
 
Binafsi nazingatia vitu vikuu viwili Muungwana wala sinaga mambo mengi.Kwanza kabisa mwanamke ANIPENDE kwa dhati...mwanadada akikupenda raha sana aisee[emoji108][emoji108]. Pili lazima awe na CHURA baaaaasss.Vingine tutavumiliana..[emoji1][emoji1].
 
Akili na kujiamini ni chaguo la kwanza kabisa, black ananisisimua, umbile ndio linanidatisha hasa lililogawanyika vizuri sehemu ya miguu, TerCore, tumbo na kifua.

Mengine yanaongezewa Kwa Bed.
 
1. Smart Brains - Street Smart n Full of Wisdom

2. Good on Bed - Clean, Creative n Compactible
 
aseee manzi kama hajapitia maisha ya CHANDs...aah bado hajanishawishi kumuoaaa...labda mech za ugenini[emoji38] (jokes)


ila msichana mwenye hofu ya mungu ndio bora sana kwangu
 
Ukweli ni kwamba kila mwanaume duniani anahitaji mwanamke ambaye anajiheshimu kwanza mbele za watu , pili mwenye kutoa maamuzi ya kimaisha namaanisha sio la sio wale wa kununa kila siku anaytaka umletee vitu brand na huku huna kitu cha tatu mwanamke anayeweza kutunza familia amabaye hata katika mahusiano anaonyehsa kwamba huyu hata nikiwa naumwa anaweza kusimama kama mama na nyumba ikaheshimika na kusimama...hayo mengine ni maneno ya mdomoni tuu ila ukweli ndio huo na ndio maana utakuat wale wazuri na majigambo ya utoto wa mjini inakuwa ngumu sana mwanaume kumuweka ndani maana anajua ndivo utakavo kuwa .
 
Sisi wengine bora awe na kishimo...
 
Naomba vigezo vya mwanamke wa kuoa mkuu
 
Ngoja kwanza.....waiter ...... nimesema safari we umeniletea balimi na sijasema ya moto nimesema yabaridi.... staki glass[emoji57][emoji57]......tuko pamoja mtoa uzi...
 
[emoji848][emoji848]
Kigezo changu ni kidogo
Mwanamke awe ananipenda na mimi nimpende.

Mapenzi hayajawahi kumuacha mtu salama naogopa kumpenda mtu Kupita kiasi kwasababu maumivu yake ni makubwa tukiachana

Ila wakati mwingine hakuna namna penzi halichagui
Ndoa itatunzwa na wanandoa na ndoa itaharibiwa na wanandoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…