Wanaume ehh! Hivi Huwa mnazingatia/mlizingatia nini zaidi ili kumpenda Mdada/Mwanamke?

Upeo mkubwa kivipi[emoji848]
Upeo wa mlubwa uko hivi;
1. Sio mfujaji wa pesa.
Mfano mnachagua location kwamba mtoke kwenda wapi....mjinga kila aiku atataka mwende hotel ya nyota 4 na 5 mkatumie zaidi, lakini mwenye upeo mkubwa atataka mwende maeneo yasiyo ghali kila mara ili maevu peaa kwa ajili ya maendeleo ma future yenu.

2. Anayeweza kuelewa kuwa nyakati hazifanani kuwa kuna wakati unakwama.

3. Atata akufanye mwenye furaha kila wakati, pamoja na yeye kutaka umfanye mwenye furaha lakini pia nawe pia

4. Anayejitunza na kuridhika na mahusiano yenu
 
Ngoja kwanza.....waiter ...... nimesema safari we umeniletea balimi na sijasema ya moto nimesema yabaridi.... staki glass[emoji57][emoji57]......tuko pamoja mtoa uzi...
Sijaelewa mkuu lugha ya kificho hiyo
 
Sawa hapo nimekuelewa ii ilikuwa no moja km sikosei[emoji848]
 
Wakwangu kanizidi akili ndio nilichozingatia
 
Vp umeshampata wa ivo
 
.... nimelewa japo siyo sana nipo bar hapa sijatoka ila nilipokuja mawaiter wote niliona hawana vigezo now naona woote wanavigezo ..... wakarimu balaaaa..... ukiwaagiza siyo wabishi, wanakuletea ulichoagiza na kama bia wanakufungulia... wanakuambia karibu.... sasa huu si zaidi ya utu.... full vigezo..... sorry... waiter ..... waisha limao plzzzzz......[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Kuna wanaume hawajui hata walichozingatia
[emoji4]Nikimpata

Mwanamke mwenye sura nzuri lakini mwenye tabia njema.

Mwenye furaha Kuwa na mimi lakini anayependa kukiri makosa na kujifunza Kutokana na makosa.

Mwanamke atakayeitunza na kuijali familia kwa katika hali yeyote ile.

Mwanamke anayeamini katika dini na mwenye staha na heshima anayejipenda na kujijali pia.

Mwanamke mwenye kuchangia katika uendeshaji wa familia na maisha kwa ujumla.

Mwenye kuridhika na kile alichonacho na asiye na tamaa bali mvumilivu.

Sijui ntampata kweli
 
[emoji23][emoji23]kwa hiyo wote tuwe mawaiter sasa
 
Hv izo sifa unazozitaka na we unazo kweli[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…