Wanaume ehh! Hivi Huwa mnazingatia/mlizingatia nini zaidi ili kumpenda Mdada/Mwanamke?

Mwenye sura nzuri na tabia nzuri mkuu utasubiri mpaka uote upara...
 
Mi sifa awe kama Joanah basi. Anayemjua Joanah basi copy and pest
 
Kabla ya Mambo yote tamaa Ni zingatio la kwanza tamaa huwa Ni sababu yawanaume kumfuata mwanamke na kumtongoza kupenda huja baada ya tamaa kufanya jukumu lake mengine kila mtu ana sababu zake ila hakuna mwanaume asie na tamaa akiwepo achunguzwe Kuna Shida japo tamaa nayo Ina sehemu zake siki sehemu tamaa hujitokeza
 
[emoji23][emoji23]kwa hiyo wote tuwe mawaiter sasa

Sorry dadaa, ngoja nikishapiga supu nitakuja kunyoosha maneno vzr.... nimeshtuka kitu. Nimetema mate kulia nimefukia kushoto...... hii haikubaliki hata kidogo.....Hata ukitumia kanuni ya kipenyo na pi kutafuta...dadaa badae kidogo....[emoji481]
 
Hv izo sifa unazozitaka na we unazo kweli[emoji848]

Unaonekana ww ni mdadisi sana.... nakusubiria kwa huku chobingo wasituone watu🤣🤣🤣[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Anayemjua kristo kwa dhati, mnyenyekevu na mtiifu.
Hapo siangalii sura wala chura.
 
Huu Uzi mzuri sana, mi binafsi nazingatia tabia zaidi, wanawake wengi au karibu wote ni wazuri shida ni tabia je tutaendana. Kiufupi napenda mwanamke mwenye utimamu
 
♡ Awe na akili nyinGi sana

Kwa sababu Nipo "verY selective hadi najiogopa"
 
😂😂😂 tonatofautiana kwenye kuchagua ila hata mm ebitoke hamna aisee... Mfano mimi napenda kuoa/kuwa kwenye mahusiano namwanamke ambae yani kikubwa nikimwona ama kumwangalia napata furaha, ani nikiwa nae nafurahi (hapa nazungumzia zaidi phyisical appearance) rather than tabia, na ili sasa nikuone nifurahi inabidi uwe na vitu ambavyo mimi navipenda ambavyo ni Cha kwanza kabisa awe mweupe au maja kunde ( maana mimi ni mweusi) ili hata nikimwoa anizalie watoto wenye mchanganyiko wa rangi siyo tuoane weusi wetu anizalie watoto wana sura kama ya mizengo pinda au steven wasira hiyo hapana aisee, kingine awe na mwili wa wastani mnene kiasi na asiwe mwembamba sana kama ruby, awe tu na nyama nyama kiasi ivi ila siyo tukunyema na pia awe na urefu wa kunifikia mabegani au zaidi maana mimi huwa mrefu sana na madem wa wafupi sana huwa wananikera sana ingawa pia wanajua kupenda kuliko warefu, dini na kabila mimi huwa siangaliagi, mm ni mkristo ila naweza oa wa dini yeyote au hata mpagani ili mrad tu tumependana na pia asinizidi umri, bora tuwe sawa kiumri au nimzidi kuliko ye kunizidi. Kwa hiyo ani mi mwanamke kikubwa akiwa na mwonekano huo basi ambao nikimwona tu ani nafurahi basi ataniteka akili zangu zote, vitu vingine kama tabia mimi huwa siangalii sana kwa sababu najua ni vitu vya kurekilebishana tu, tabia hubadilika tu so unaweza oa hata kahaba alafu ukambadikilisha akatulia kwenye ndoa vizuri tu, so hakuna tabia sugu, tabia hubadilika kulingana na mazingira na umri pia, mfano unaweza oa mwanamke alikuw si mlevi ila ukaja kuwa mlevi kwako kwa sababu we mume n mlevi so ni kama umemfundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…