Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.
Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.
Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .
Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?
Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.
Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.