Wanaume hii ni sawa?

Wanaume hii ni sawa?

Ni vitu vya kawaida tu hivyo kwa mtoto wa kike wala hata usikereke,unamkaushia tu,maisha yanaendelea.
 
Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.

Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.

Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .

Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?

Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.

Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Nenda katoe papuchi, kaambiwa wanawawake wako desperate, NI wa kushika TU mkono, unalalia jiuno lake
 
Huyo anakufahamu, alikosa tu jinsi ya kuwasiliana na wewe. Hilo group limekua msaada. Nenda si mnapiga story tu [emoji3]
Ameshaona dalili za kuliwa[emoji16]
 
Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.

Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.

Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .

Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?

Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.

Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Akapewe dozi wewe
 
duh, ndiyo ukaja kunitangazia huku, nilikuita tuchit-chat then usepe zako
 
Maisha yapo kasi hakuna kuzungukazunguka. Mambo ni straight forward ukijizungusha tunaelekea upande mwingine faster kama mwewe kipanga
 
Back
Top Bottom