James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Kizuri kula na mwenzio baba mkuuNitumie hiyo pasport size kwa siri ili niweze na mimi kutoa tathmini ya haki kama huyo jamaa ni fisi tu, au alistahili kuingia majaribuni.
Maana usikute mtoto jicho kama la huyu jamaa hapa [emoji849] na hivyo kumvuruga Baharia wa watu.
Wenzako wanamaliza mwaka mzima hakuna wa kuwatongoza,kwa usawa wa sasa hivi Ukiona sisi Wanaume tumekutongoza,Shukuru, kwasababu ni bahati ya pekee.Sasa kwa ushauri zaidi, twende zetu PM.Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.
Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.
Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .
Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?
Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.
Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Umekereka na nini sasa hapo? Kwani kakutukana?Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.
Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.
Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .
Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?
Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.
Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Nenda kamsikilize anasemaje, hata ukilika kimasihara sio mbaya na wewe utakua umefaidi utamu
Hakuna mwanamke asiependa kutongozwa au kupendwa...
Ni sawa useme mtoto wa kike asijiangalie kwenUsipotongozwa uaanza kuzunguka kwa waganga kutafuta mchawi nani.Umri wangu wa nnUmri wako??
Af kwa nnavyomjua hawezi kukula kimasihara we nenda tu haina shida,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.
Mwamba kazingua.Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.
Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.
Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .
Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?
Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.
Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Kwa hiyo ukimzoea anakula bila kinyongo?Sijamzoea mkuu ,nimeahangaa sana
So me nikikuita tupige story pale Azure utachukulia hivyo? Kwamba kila anaekuita anataka ku do? What if it's business issues nmeona kwako itakua simple wote kutoboa? [emoji16]Hanifahamu, story nyumbani kwake
Amekuja kutangaza biashara,kumbe mkuu hukumuelewa mleta mada?Hili nalo la kufungulia uzi?