Wanaume hii ni sawa?

Mambo ya kawaida tu hayo kwa mwanamke. Hajakulazimisha kwenda nyumbani kwake. Amekuomba! Hivyo una hiyari ya kwenda, au kutokwenda.
Hapa ndo inapokuja tofauti ya akili ya mwanamke na mwanaume katika kutafsiri mapenzi! Kwa mwanamke anakwenda extra miles kutaka kujuwa kwanini imekua hivyo. Mwanaume utakata long story short kwamba aamue tu kutokwenda biashara inakua imeisha.
 
Point yangu ni kwamba ,hatufahamiani, then uniite kwako nyumbani, hiyo ni sawa? Itakuwa kashaita wanagapi kwenye magroup aliyopo?
Wanaume wenzangu muwe mnajifunza psychology ya wanawake kupitia nyuzi kama hizi.hii itakusaidia kuishi vema na mwenzi wako.
 
Na ww umejuaje kama anataka kukula kimasihara acha mawazo hayo mwamba mpaka akukaribishe kwake ana jambo la muhimu anataka mjadili inaweza ikawa harus moja ikaanzisha nyingine uskatae wito we nenda kizur b kwamba kaja direct ajapinda
 
Point yangu ni kwamba ,hatufahamiani, then uniite kwako nyumbani, hiyo ni sawa? Itakuwa kashaita wanagapi kwenye magroup aliyopo?
We ushamkubali tatizo unahitaj akuhakikishie usalama wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…