Wanaume, hii tabia ya kukwepa sala ya asubuhi mbona inazidi kulalamikiwa

Wanaume, hii tabia ya kukwepa sala ya asubuhi mbona inazidi kulalamikiwa

Kwa mimi Ibada/kusali nalichukulia kama jambo privacy, napohitaji kufanya hivyo basi inabidi niwe mwenye mimi na Mungu wangu ten wakati roho/Yule aliye ndani yangu anahitaji kufanya hivyo.

Swala la kusali pamoja kila siku inakua ni kama ratiba/circle fulani hivi mmeiweka mwisho inakua ni mazoea ya kusali. Yaani sio unasali kwakua roho yako imeona hibo Hapana bali kwakua mmeweka utaratibu huo na mkeo au mume anakuhimiza kufanya hivyo. Kwa upande wangu siwezi funya hivyo...Amka sali kivyako na Mungu wako namimi nitasali kivyangu na Mungu wangu. Sio mnasali wewe ushamaliza sala na maombi yako unaanza kusikilizia kama mwenzio kamaliza. Hapana!

Ni mtazamo wangu, ndio maana mimi nilikua nawaambia nisipoenda kanisani nisiulizwe Why? Nikumbushe tu. Na nikienda usinisifie. Sometimes ninakua na Migogoro yangu na Mungu hafu mtu anakulazimisha kusali.
Duh mkuu unaonekana kama mtu wa rohoni sana. Nimejifunza kitu.
 
Duh mkuu unaonekana kama mtu wa rohoni sana. Nimejifunza kitu.
Hapana mkuu sio mtu wa rohoni kihivyo,najitahidi tu kujaribu kushika yale yanipasayo (Primary purpose of creation) kushika kama mwanadamu...Kama umejifunza kitu basi Vizuri pia, lengo ni kupashana yale yenye kujenga kama mtoa mada alivyodokeza.
 
Maombi kwa Mungu hayasaidii mkuu,
na hili jambo mtu yeyeto "timamu hasa" analielewa.

Mungu angekuwa anajibu maombi, nakuhakikishia hakuna ambaye angeacha kumuomba kila asubuhi akiamka.
Tatizo Mungu hayupo na hasikii wala kujibu maombi au sala zetu.

Kikubwa ni jitihada zako na watu wanao kuzunguka ndiyo zitakusaidia au kukuangusha.
Ungefungua mada maalumu insyohusu uweza wa Mungu maana hichi ulichojibu hapa ni Parallel na kilichodokezwa
 
Mimi na Mwenza wangu Huwa na mpaka wiki spesheli kwa Maombi na Mfungo kila Mwezi....
Faida ni kuzidi kuwa naye Karibu zaidi kiroho....
Pili itakuja kufaidisha malezi bora ya Watoto...
Tatu Hatuta gombana kamwe INASAIDIA SANA kupunguza mifarakano na kuleta umoja ndani....
Mwisho pale Eden Mungu alimwita Adamu lakini walipaswa kwenda wote Mimi napaswa kulisimamia hili Kama Mwanaume.
 
Lakini mna kera, unakaa jikoni kupika halafu jitu linarudi asubuhi. Mezani umekata matango na machungwa.
Sasa kama hilo jitu lenyewe linaendekeza K-vant zaidi unategemea nini?
Hata hio sala ya asubuhi hua linasali mbele ya chupa ya K-vant, sio kama halisali kama unavyofikiria.
 
Back
Top Bottom