Wanaume, hii tabia ya kukwepa sala ya asubuhi mbona inazidi kulalamikiwa

Duh mkuu unaonekana kama mtu wa rohoni sana. Nimejifunza kitu.
 
Duh mkuu unaonekana kama mtu wa rohoni sana. Nimejifunza kitu.
Hapana mkuu sio mtu wa rohoni kihivyo,najitahidi tu kujaribu kushika yale yanipasayo (Primary purpose of creation) kushika kama mwanadamu...Kama umejifunza kitu basi Vizuri pia, lengo ni kupashana yale yenye kujenga kama mtoa mada alivyodokeza.
 
Ungefungua mada maalumu insyohusu uweza wa Mungu maana hichi ulichojibu hapa ni Parallel na kilichodokezwa
 
Mimi na Mwenza wangu Huwa na mpaka wiki spesheli kwa Maombi na Mfungo kila Mwezi....
Faida ni kuzidi kuwa naye Karibu zaidi kiroho....
Pili itakuja kufaidisha malezi bora ya Watoto...
Tatu Hatuta gombana kamwe INASAIDIA SANA kupunguza mifarakano na kuleta umoja ndani....
Mwisho pale Eden Mungu alimwita Adamu lakini walipaswa kwenda wote Mimi napaswa kulisimamia hili Kama Mwanaume.
 
Lakini mna kera, unakaa jikoni kupika halafu jitu linarudi asubuhi. Mezani umekata matango na machungwa.
Sasa kama hilo jitu lenyewe linaendekeza K-vant zaidi unategemea nini?
Hata hio sala ya asubuhi hua linasali mbele ya chupa ya K-vant, sio kama halisali kama unavyofikiria.
 
Sasa kama hilo jitu lenyewe linaendekeza K-vant zaidi unategemea nini?
Hata hio sala ya asubuhi hua linasali mbele ya chupa ya K-vant, sio kama halisali kama unavyofikiria.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…