Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

Hapo kwenye style gani ya kunyoa umenipa mashaka mno. Kama hujui style tafuta mtu akusaidie.
 
Hizo nywele za pembeni ya jicho hata wanawake pia wanazo. Kwanini unaruuliza tu sisi Wanaume?
 
Usafi ni pote mkuu, ukianza kufyeka pita nazo pia. Usifyeke tu pa kukanyagia! 😁🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…