Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

Jamani na miaka yangu yote nimekuwa nikijiuliza sana hukusu hizi nywele sijawahi kuzinyoa ila sometime seems like zinakera ndo nauliza hua mnazinyoa na mnazinyoaje wakuu stailstail gan mnakaa

Pia kama hazitolewi niambieni kwa wenye swali hili natumai leo tutapata majibu toka kwa baba na kaka zetu
Hapo kwenye style gani ya kunyoa umenipa mashaka mno. Kama hujui style tafuta mtu akusaidie.
 
Hizo nywele za pembeni ya jicho hata wanawake pia wanazo. Kwanini unaruuliza tu sisi Wanaume?
 
Usafi ni pote mkuu, ukianza kufyeka pita nazo pia. Usifyeke tu pa kukanyagia! 😁🙌
 
Back
Top Bottom