Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Anaekupendaa alikupenda na Kasoroo zakoo na kama anakupenda Kamwe hataziona hizo kasoro...!!
 
Yap mahusiano ya kupita pita unapinduliwa lakin kama bebe unamkubali huwezi kutuhubutu,kwanza wakikukonyeza jicho tu unampa alarm bebe
Eeeeeh. Ila mi nina adabu sana. Hata nikikaa na marafiki wa bwana na marafiki zake wana hela ndefu wakinitongoza wala siwakubalii naona wananichukulia kama malaya. Bora nitembee na mtu huko lakini sio cycle ya mwanaume wangu.
 
Asante kwa ushauri unafaa kuwa nabii tito
 
Yule hakua bwana angu RRONDO. Angekua bwana ange ningeishia kuadmire magari mazuri ila nisingetamani kutoka na wenye hayo magari.
 
Eeeeeh. Ila mi nina adabu sana. Hata nikikaa na marafiki wa bwana na marafiki zake wana hela ndefu wakinitongoza wala siwakubalii naona wananichukulia kama malaya. Bora nitembee na mtu huko lakini sio cycle ya mwanaume wangu.
Afuu kama mwanaume wako hajakupendaa ataacha wakugongee washkaji zako afuu wotee wanakupotezeaa... Yani unajipigaa Mtungoo mwenyewee
 
Kama umemchoka baba sabrina si usepe tu ndio unakuja kumsemea jf umeanza tabia za kile kibibi kinacho jiita super woman cha wanawake live we kama umepata njemba jipya sepaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata ambao hawana pesa nao hawajakamilika tunahangaika nao tu
 
Ahhahahahaha woyoooooo
Wanaume ndio mna tabia hiyo sanaa ya kubadili gia angani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…