Wanaume hudumieni familia zenu

Wanaume hudumieni familia zenu

La sivyo muache kuwataka wake zenu au wapenz wenu wazae.....msitese watoto....watoto hawana hatia.Wanaume wajibikeni katika familia zenu tafadhali
Si mlisema maisha ni 50 kwa 50 pambaneni sasa na bado huko tunakoelekea huo singo maza utakuwa mara mia zaidi nyie subirini alafu endeleeni kujichanganya , safari hii mpaka muokote makopo
 
Si mlisema maisha ni 50 kwa 50 pambaneni sasa na bado huko tunakoelekea huo singo maza utakuwa mara mia zaidi nyie subirini alafu endeleeni kujichanganya , safari hii mpaka muokote makopo
Watoto watateseka sana jamani
 
Back
Top Bottom