Wanaume hupenda wanawake wagumu kupatikana?

Kwa maana wewe utakuwa una mwanaume mwingine tofauti na yeye na yeye ana mwanamke mwingine in short nyinyi mpo kwenye sex orientation si mahusiano ila mnamahusiano mengine
Jamanii sexual Orientation kwa 5+yrs??
Hapana bhana sisi ndio mtindo wa maisha yetu huu.
 
Tru, mwanamke akikupenda no mjadala
 
Ni mwanamke wangu tena then anletee drama, ? Ukweli ni kwamba wengi tunapoteza interest kwa mwanamke wa namna hyo.

Mwanamke anatakiwa awe loyal kwa mwanamme wake hata nkikuamsha usiku wa manane nahitaji tendo inatakiwa ufanye hvo.

Hyo ndyo maana halisi ya mahusiano yenye afya lakini sio kusumbuana bila sababu za msingi et kwamba utaongeza mvuto kwa mtu wako ni uwongo unaua mvuto 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…