Wanaume huwa mnahitaji nini?

Wanaume huwa mnahitaji nini?

Si bora mimba utazaa?

Akimuomba kwingine kwa kigezo kwamba atatulia?

Atakataa kwa alivyokufa na kuoza?
wewe dada naona umeumia sana sio kwa kukeleketwa huko, utakuta bwana wako anakupiga makofi lakini hapa mdomo mlefu kama samaki chuchunge.
 
Each time you forgive a man and take him back for the same mistake, he loses some level of respect for you.

Sasa jitafakari. Hapo hujaolewa wala hujazaa unadhalilika. Ukija kuolewa ama kupachikwa tu ki zygote kuna rangi utaacha kuona kweli?
You spoke my mind
 
wewe dada naona umeumia sana sio kwa kukeleketwa huko, utakuta bwana wako anakupiga makofi lakini hapa mdomo mlefu kama samaki chuchunge.
Huyu Genius Utopolo kaamkia upande ganii wa kitanda?🤣
 
Habarini zenu ndugu zangu?

Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano.

Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana kwake. Nimekuwa mnyenyekevu na msikivu sana kwa mwenzangu.

Tofauti na wengi wanavyosema kuwa ukiwa hivyo unaleta upendo lakini kwangu mimi naona inakuwa tofauti. Badala ya upendo, naonekana kama mtu mjinga ambaye nimekufa na nimeoza kwake kiasi kwamba siwezi kujitetea kwa lolote.

Tabia hii kwa mwenzangu, ikazua yeye kuwa na wanawake wengine kisirisiri na inapotokea nimegundua anataka kunifanya mimi nionekane nimemkosea adabu! Kweli nina madhaifu kama binadamu, lakini kwa upendo wa dhati kwa huyu mtu kwa kweli nilikuwa nao.

Yeye mwenyewe anajua na hiyo ilimtia sana kiburi. Sasa amezua tabia mpya. Inapotokea naona mwenzangu anafanya mambo ya kipuuzi na kuwa na wanawake wengine, namwambia achague. Na cha ajabu anachagua mwenzangu mie naendelea na maisha mengine. Lakini haiwezi kupita mwezi bila huyu jamaa kurudi na kuomba msamaha sana.

Nimechoka hali hii na ninahitaji sana kuendelea na maisha mengine wadau. Naombeni mnisaidie mawazo yenu labda wapi nakwama na nini nahitaji katika suala hili la mahusiano maana naona ule uvumilivu na upendo unakufa na chuki inaibuka moyoni mwangu juu ya huyu kaka. Nilidhani ni hali ya kawaida ila sasa nina siku ya tatu akinitafuta, sina uwezo wa kuongea naye vizuri. Kwa mara ya pili toka tuanze mahusiano nimemtukana na nimemruhusu aende anapotaka kwenda.

Ila bado analalamika kwa marafiki zake kuwa nimekuwa mjeuri.
Pole sana mdada kwa yote unayokumbananayo,ushauri wangu ni kuwa tafuta mtu mwingine huyo hayupo upande wako,anakupotezea muda wako tu
 
Tunahitaji alichomaanisha Mungu alipomuumba Eva na kumkabidhi Adam
 
Dah wanawake Kama nyinyi ndo tunawataka hafu Mpum bavu mmoja anachezea chance Kama hii...Inasikitisha sanaaaaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Pole Sana.
 
Back to me nimeuskia mkuu [emoji1787]as long as hamcheat na mbuzi Ni wanawake na sisi hatucheat na ngo'mbe Bali Ni wanaume hakuna tatizo ...
Kwa hyo mnataka ushindani sio

Shauri yenu sisi ni tofauti na nyie mtachakaa sio utani
 
Wanaume huwa tunahitaji Chini, in short huwa ni Tamaa tu, Msameheme jamaa.

Sisi baba etu ni mmoja hata utafute Mwingine bado hutokuwa salama, mvumilie na Umwombee
 
Habarini zenu ndugu zangu?

Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano.

Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana kwake. Nimekuwa mnyenyekevu na msikivu sana kwa mwenzangu.

Tofauti na wengi wanavyosema kuwa ukiwa hivyo unaleta upendo lakini kwangu mimi naona inakuwa tofauti. Badala ya upendo, naonekana kama mtu mjinga ambaye nimekufa na nimeoza kwake kiasi kwamba siwezi kujitetea kwa lolote.

Tabia hii kwa mwenzangu, ikazua yeye kuwa na wanawake wengine kisirisiri na inapotokea nimegundua anataka kunifanya mimi nionekane nimemkosea adabu! Kweli nina madhaifu kama binadamu, lakini kwa upendo wa dhati kwa huyu mtu kwa kweli nilikuwa nao.

Yeye mwenyewe anajua na hiyo ilimtia sana kiburi. Sasa amezua tabia mpya. Inapotokea naona mwenzangu anafanya mambo ya kipuuzi na kuwa na wanawake wengine, namwambia achague. Na cha ajabu anachagua mwenzangu mie naendelea na maisha mengine. Lakini haiwezi kupita mwezi bila huyu jamaa kurudi na kuomba msamaha sana.

Nimechoka hali hii na ninahitaji sana kuendelea na maisha mengine wadau. Naombeni mnisaidie mawazo yenu labda wapi nakwama na nini nahitaji katika suala hili la mahusiano maana naona ule uvumilivu na upendo unakufa na chuki inaibuka moyoni mwangu juu ya huyu kaka. Nilidhani ni hali ya kawaida ila sasa nina siku ya tatu akinitafuta, sina uwezo wa kuongea naye vizuri. Kwa mara ya pili toka tuanze mahusiano nimemtukana na nimemruhusu aende anapotaka kwenda.

Ila bado analalamika kwa marafiki zake kuwa nimekuwa mjeuri.
I know i can treat you better than he can
 
Yani hii ishu yako ni kama ya shoga angu mmoja hivi..Nshamwambia asije tena kwangu kuniletea malalamiko yake ya kipuuzi.
 
Hahahah ukipenda sana mahali unakuwa mtumwa wa hisia zako! Huu uraibu ni mmbaya kuliko Cocaine!
 
Habarini zenu ndugu zangu?

Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano.

Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana kwake. Nimekuwa mnyenyekevu na msikivu sana kwa mwenzangu.

Tofauti na wengi wanavyosema kuwa ukiwa hivyo unaleta upendo lakini kwangu mimi naona inakuwa tofauti. Badala ya upendo, naonekana kama mtu mjinga ambaye nimekufa na nimeoza kwake kiasi kwamba siwezi kujitetea kwa lolote.

Tabia hii kwa mwenzangu, ikazua yeye kuwa na wanawake wengine kisirisiri na inapotokea nimegundua anataka kunifanya mimi nionekane nimemkosea adabu! Kweli nina madhaifu kama binadamu, lakini kwa upendo wa dhati kwa huyu mtu kwa kweli nilikuwa nao.

Yeye mwenyewe anajua na hiyo ilimtia sana kiburi. Sasa amezua tabia mpya. Inapotokea naona mwenzangu anafanya mambo ya kipuuzi na kuwa na wanawake wengine, namwambia achague. Na cha ajabu anachagua mwenzangu mie naendelea na maisha mengine. Lakini haiwezi kupita mwezi bila huyu jamaa kurudi na kuomba msamaha sana.

Nimechoka hali hii na ninahitaji sana kuendelea na maisha mengine wadau. Naombeni mnisaidie mawazo yenu labda wapi nakwama na nini nahitaji katika suala hili la mahusiano maana naona ule uvumilivu na upendo unakufa na chuki inaibuka moyoni mwangu juu ya huyu kaka. Nilidhani ni hali ya kawaida ila sasa nina siku ya tatu akinitafuta, sina uwezo wa kuongea naye vizuri. Kwa mara ya pili toka tuanze mahusiano nimemtukana na nimemruhusu aende anapotaka kwenda.

Ila bado analalamika kwa marafiki zake kuwa nimekuwa mjeuri.
Madam usiumize kichwa DUNIA YA SASA NI YA AJABU SANAA.

Ishi maisha YAKO..!!!

Mimi binafsi.

Hata nikijua unachepuka sitokuuliza chochotee, mi ilimradi unanipa kipochi manyoya basi NARIDHIKA.

Ila nikiona your too much (unagawa sanaa) then I will step aside.

#YNWA
 
Back
Top Bottom