Harmo hakumzaa Paula usifananishe kifo na usingizi, Harmo hana chochote anachoshare na Paula na alishaonyesha intention ya kumla Paula.Hivi wale wababa wanaokula mabinti zao wa kuwazaa nao wafanyweje maana kwa mujibu wa haya maelezo yako harmo 'alitaka kula' ila hakula,, acheni wivu wa kike aisee
Na ubinafsi juu.Wana roho mbaya sana
[emoji1787] HellowTuige nini haswa?
1. Kulilia wamama walioahindikana mjini?
2. Tuige kula kuku na mayai
3. Au tuige kuomba msamaha?
Naam mama niige nini kwa huyu mwamba?[emoji1787] Hellow
We endelea kuteseka tu haisaidii kituHarmo hakumzaa Paula usifananishe kifo na usingizi, Harmo hana chochote anachoshare na Paula na alishaonyesha intention ya kumla Paula.
Hao wababa wanaokula watoto wao wa kuwazaa wauliwe tu. Ila Harmo akimla Paula nitampa kongole sana.
Wamuache Roby wa kajalaNa ubinafsi juu.
Upendo rafiki, hayo mengine ni yake Harmo.Naam mama niige nini kwa huyu mwamba?
Hakika.Wamuache Roby wa kajala
😃 ila wajaAlipopiga magoti ndipo alipoharibu kila kitu, anyway hongera kwake
Robie angempenda Kajala angemheshimu.Upendo rafiki, hayo mengine ni yake Harmo.
Hehe kwa hiyo hamna la kuiga, haya bwanaRobie angempenda Kajala angemheshimu.
1. Asingekula mayai
2. Walipoachana asingehangaika na wanawake wengine angesubiria warudiane.
.......
Sasa amehsngaika na wazungu alipoona mambo mazito ndio kamrudia Mzee Kajala😅
Acha roho mbaya😂Wataachana tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Robie angempenda Kajala angemheshimu.
1. Asingekula mayai
2. Walipoachana asingehangaika na wanawake wengine angesubiria warudiane.
.......
Sasa amehsngaika na wazungu alipoona mambo mazito ndio kamrudia Mzee Kajala😅
Eee binti Sayuni hebu nenaaMmmh
Huyu dogo ana moyo, kukurupua namba A kabisa mwenye binti anayeweza kumuoa akili za kawaida zinakataa.Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako.
Kuna watu wanapendwa jamani.
Wanaume igeni mfano kutoka kwake.
Ngoja tuone mwisho wakeEee binti Sayuni hebu nenaa
Wataachana tu [emoji16][emoji16][emoji16]Acha roho mbaya[emoji23]
Ni kweli ndoa za mastaa wengi ni biashara kama nandy anavomganda bilnass kwakuwa wakiwa pamoja anampandisha chartHuyu muhuni anawaza namna gani abaki midomoni kwa watu muziki wake uende, na alishajua kajala ana kanyota fulani wakikaa wote.kama ilivyo yeye.
Hamna ndoa hapo yaani eti aitwe Robert kweli?
Amka hakuna wa kukufanyia huo upuuzi fanya kazi tu upate pesa yako