Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Naona malalamiko kibao.
Shida nini?
Kuna wanaume kama sisi hatujawahi kula bikra za watu, and we are cool, kwasababu at the end of the day, hatutakuwepo(death awaits everyone).

Enjoy life ila kubaliana na consequences utakazokutana nazo.
Everything depends on your decision.
 
1696927283019.jpg


Endeleeni tu kulamba papuchi za malaya......
 
Hiyo shida yake! Wakati mnatunyemelea tukiwa skuli kuzitoa hizo bikra mlipanga kutuoa?

Hivi thinking ya wanaume ikoje? Yaani unamtoa mtu bikra na hutaki kumwoa!!

Halafu siku unaoa natakaaa bikraa! Bikra si mlishazitoa?
tatizo humu ni kwamba tunawasema sana,

hayo mambo mengine kama hamtaki kataeni.....
 
Back
Top Bottom