Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Ahaaa hapo sawa. Ila kuomba mechi haijawahi kuwa rahisi hata kama mnaheshimiana. Moja ya sababu ya kuchepuka ni pamoja na kukosa sex kwa wakati
Unakua tu na mtu wako mmoja permanent, mnapendana na kuheshimiana basi mambo mengine yanaendelea .... asa sio kila anayekutongoza akikuomba mzigo unampa khaa🤒🤒
 
Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?



Astakafiru...!
Astakafiru...!
Astakafiru...! [emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Back
Top Bottom