Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekaa Kama Ctrl Number za Dawasco.wacha ikae hivi 009000
oyaa 0 zikiwa ni most significant figures zinakufaImekaa Kama Ctrl Number za Dawasco.
Vipi nikipitisha maneno UVINZA?Binafsi, Mimi ke siwezi kuwa na hisia kwa mtu nisiyempenda hata anitomase vipi 🚮. Sipendi hata anisogelee.
Kwanini nisihitaji sasa☺️,, mimi nina uhitaji nalo sana that's why napenda niwe namtimizia mtu wangu kwa wakati ili nayeye awe anafanya hivyohivyo kwanguHivi hili suala nyie huwa hamuhitaji 😄 umeandika kama vile ni msaada unatoa
Almost wanawake wote ni wauzaji na wanaume ni wananunuaji tofauti ipo tu kuna wengine wanafanya exchange direct na wengine indirect. Kuwa mkweli unaweza kuishi na mumeo bila kupata monetary benefits zozote kutoka kwake na moyoni ukawa na amani kabisa?Nawe mnunuzi? TRA njooni kuna mteja wenu hapa awape risiti ya manunuzi ya bidhaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuja kumlipia mtu bill Babu.oyaa 0 zikiwa ni most significant figures zinakufa
so hapo inabaki 9000
hakuna cha control number ya dawasco
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah.! Kwamba hasipofika izo ni shida zakeSisi tunajari basi tukimwaga tumekuwa wepesi hio ya wewe kufika ni juu yako na hisia zako.
We unahisi wale malaya wa riverside huwa wanakuwa na hisia nasi
akae huko huko maana huku atakutana na mke mwenza ambaye ni huyu hapaUtakuja kumlipia mtu bill Babu.
Sema nini fanya atue Chanika.
Mhm [emoji848] [emoji848] [emoji848].Thank you. Ndo hao "huwalazimisha" wanawake kufanya uchafu wa kila aina halafu lawama kwa mwanamke tena.
Oya Hilo kopo hukai nalo mbali.
Ushasema mumeAlmost wanawake wote ni wauzaji na wanaume ni wananunuaji tofauti ipo tu kuna wengine wanafanya exchange direct na wengine indirect. Kuwa mkweli unaweza kuishi na mumeo bila kupata monetary benefits zozote kutoka kwake na moyoni ukawa na amani kabisa?
iko kulia kabisa mwa work-bench yanguOya Hilo kopo hukai nalo mbali.
Uko poa mrembo [emoji8] [emoji8] [emoji8]Thanks yaani wakware kweli imagine message tano zote Hi, hello, mambo
Mwanetu kabla ya kufa roho utakufa Uboo.iko kulia kabisa mwa work-bench yangu
mbele ni desktop monitor, kulia ni mke, kushoto ni desktop tower, kushoto kabisa ni feni
hapana hapanaMwanetu kabla ya kufa roho utakufa Uboo.
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!
Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.
Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?
Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?
Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....
Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.
Msiwafanye wanawake objects.
Povu ruksa.
Tofauti ya machela tunalipia kwa rejareja na mume analipia kwa jumla. Ni suala lile lile tuUshasema mume
Sasa nyie mna muunganiko gani km sio wafanyabiashara? Emu mpewe TIN serikali ichukue mapato [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza si "kuwala" ni "kukulana"