Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Nawe mnunuzi? TRA njooni kuna mteja wenu hapa awape risiti ya manunuzi ya bidhaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Almost wanawake wote ni wauzaji na wanaume ni wananunuaji tofauti ipo tu kuna wengine wanafanya exchange direct na wengine indirect. Kuwa mkweli unaweza kuishi na mumeo bila kupata monetary benefits zozote kutoka kwake na moyoni ukawa na amani kabisa?
 
Utakuja kumlipia mtu bill Babu.
Sema nini fanya atue Chanika.
akae huko huko maana huku atakutana na mke mwenza ambaye ni huyu hapa

hh.jpg
 
Almost wanawake wote ni wauzaji na wanaume ni wananunuaji tofauti ipo tu kuna wengine wanafanya exchange direct na wengine indirect. Kuwa mkweli unaweza kuishi na mumeo bila kupata monetary benefits zozote kutoka kwake na moyoni ukawa na amani kabisa?
Ushasema mume
Sasa nyie mna muunganiko gani km sio wafanyabiashara? Emu mpewe TIN serikali ichukue mapato 😂😂😂
 
Hili povu je ukipita mtaa wa rikiboy si utazimia kabisa.
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom