Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Achana na watoto wa kiume/wavulana wa humu ndani dear.
 
Nikweli tunanunua malaya Lakini ni kwasababu wanawake wetu ni Malaya wa watu wengine.

Lakini hata kwa hao malaya Tunayokutana nayo ni makubwa kuzidi matarajio 🤭.

Unalazimishwa kupitia Kwa Mpalange uende Buza 😂.

Alafu tunanunua Malaya kwasababu Wanapatikana na ni bei rahisi. 📌🔨👣
 
Kwa hiyo kisa nimeolewa sijui kinachoendelea duniani? Au unafikiri kwa kua nimeolewa sipati heka heka zinazosababishwa na wanaume
Kama hauna Msimamo na kujitambua mwenyewe utadharirika na kuitwa majina ya ajabu kama Malaya au Danga.
Jitunze mheshimu Mme wako kama utapata hizo Heka Heka.
Lakin kama upo huna masimamo Kila mwanaume anayekuja unakubali kisa ana Hela sawa tu acha wakuite hivyo
 
Nikweli tunanunua malaya Lakini ni kwasababu wanawake wetu ni Malaya wa watu wengine.

Lakini hata kwa hao malaya Tunayokutana nayo ni makubwa kuzidi matarajio 🤭.

Unalazimishwa kupitia Kwa Mpalange uende Buza 😂.

Alafu tunanunua Malaya kwasababu Wanapatikana na ni bei rahisi. 📌🔨👣
Waanzishaji wa michezo ya mpalange ni nani? Mbona mnapenda kuomba omba huko. Mkoje?
 
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!

Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.

Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?

Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?

Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....

Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.

Msiwafanye wanawake objects.

Povu ruksa.
Don't panic, kujitamba ni moja kati ya sifa kuu za kiume.

Au Usikute Kuna story yako ya kuliwa kimasihara umeikuta kweny Uzi wa Rickboy🤣🤣🤣🤣
 
Binafsi, Mimi ke siwezi kuwa na hisia kwa mtu nisiyempenda hata anitomase vipi 🚮. Sipendi hata anisogelee.
Ukiwa hivyo utakosa mwanaume wa kukuoa hivi nikuulize kila mwanaume ambaye unahisia nae unazani nae anahisia na wewe?kwenye huu ulimwengu ni ngumu kumpata mwanaume wa ndoto zako utastruggle sana wewe unafikiri wote walioolewa wameolewa na wanaume wanaowapenda? Nature inataka mwanamke ajifunze kupenda kulingana na matendo ya mwanaume anayokutendea
 
Of course, wanasemaga;
Mwanamke analala na mwanaume anayempenda bali mwanaume analala na mwanamke atakae patikana.

Ila tukija kweny masuala ya ndoa;
80% ya wanawake wanaolewa na wanaume wasiowapenda na <20% wanaolewa na wanaume wanaowapenda.
80% ya wanaume wanaoa wanawake wanaowapenda na <20% ya wanaoa wanawake wasiowapenda.
 
IMG_20230506_083652.jpg
 
Back
Top Bottom