Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
😁😁😁Mkuu,
Sina hela na sijawahi kusema ninazo...halafu mambo ya vi8 hayahusiani na hela. Wewe niambie tu ni wapi nitakuja🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Mkuu,
Sina hela na sijawahi kusema ninazo...halafu mambo ya vi8 hayahusiani na hela. Wewe niambie tu ni wapi nitakuja🤣🤣🤣
Na unaongea ukiwa gheto huku mnara unasoma 5G 🤣🤣🤣🤣Siku nikiamka kama hivi na kamama pembeni na morning kisses mingi nitaacha wivu.🤣
Aiseeee hivi tu nimesha anza kunena kwa lugha 😄🤣🤣🤣🤣 jichanganye km hujaita mizimu ya kwenu
Nitaahirisha kuingia studio kukuimbia nyimbo ya mahaba we haya 😂😂😂Yameisha sweetieee lv u 😘
Ghetto ni sehemu wanayoishi vijana wa kula kimasihara🤣Na unaongea ukiwa gheto huku mnara unasoma 5G 🤣🤣🤣🤣
Asa badala ya kusema tumalize huu mzozo unanicheka mkuu?🤣🤣
Nasubiri 🤗😘Nitaahirisha kuingia studio kukuimbia nyimbo ya mahaba we haya 😂😂😂
😂😂😂 mpk usemeAiseeee hivi tu nimesha anza kunena kwa lugha 😄
Toto tundu wewe 😄😋😂😂😂 mpk useme
Nitakutajia mkuu tulia basi au unataka nimwage kuku kwenye mchele wengi 😅Asa badala ya kusema tumalize huu mzozo unanicheka mkuu?🤣🤣
Kumbe unatudanganya mambo safi na wewe boss humu jf 😂😂😂Ghetto ni sehemu wanayoishi vijana wa kula kimasihara🤣
Kuhusu 5G nikikumbuka mazingira sio rafiki kwangu najikuta mnara unaanguka ghafla🤣🤣
Bado hujasema laaziz 🤣🤣🤣Toto tundu wewe 😄😋
Inabidi niunde group la majobless utupe vocha huko[emoji24]Mimi si nilikushauri anzisha kujiwe chetu cha majobless ukagoma
Ukumuona mama mchungaji mpe Hi sana
Soon nipo studio 😂😂😂Nasubiri 🤗😘
Utachelewa hadi wapambe wakushike masikio mkuu🤣🤣🤣Nitakutajia mkuu tulia basi au unataka nimwage kuku kwenye mchele wengi 😅
Nitakuwa nakusubiria babe wangu 🤗😘 lv uSoon nipo studio 😂😂😂
Mbona tayari washanipa pdf😆😆😆😆Utachelewa hadi wapambe wakushike masikio mkuu🤣🤣🤣
Kumbe unatudanganya mambo safi na wewe boss humu jf 😂😂😂
Unaogopa kuombwa afu tatu?
Heeee pdf tena, linamhusu nani?..dah!!Mbona tayari washanipa pdf😆😆😆😆
Onhooo jf never boringHeeee pdf tena, linamhusu nani?..dah!!