LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Mimi kama Mimi yaani kuna wakati nafanya maamuzi ya kumchapa mtoto wangu wa mwaka na nusu lakini ni lazima nigombane na mama yake,
lakini ninacho jivunia kwa mwanangu ananipenda na ana nitii vizuri tu nikimwambia kitu anatekeleza, mfano lala, kaa , nisubirie hapo hapo,usichukue, acha, nyamaza,nipe, weka hapo, nk.
hakajaanza kuongea ndo kanajifunza ila kanaelewa, ni wa kiume
namuombea kwa mungu aendelee kuwa bora zaidi,