Mke wangu huwa anampiga makofi mtoto wetu 1 year net pale kanapo mng'ata wakati wa kananyonya,wewe huyu mke wangu unampa jina gani badala ya dingi?Mtoto wa mwaka na nusu kumchapa unamwonea we dingi kiazi.
yaani kuna siku mama yake alitoka kama dk 5 akaenda kuoga akaniachia, kwa kuwa najua mwanangu anaheshimu kauli Yangu nilimwambia, alale Mimi nikaondoka zangu,mama yake alipl rudi kamkuta amelala ila nilimpa kitu ashikilie mkononi kama kuchezea, hakuamka,Mimi mtoto wangu wa mwaka na miezi 3 hamsikilizi mama yake yeye anamsikiliza baba tu.
Mama yake anaumia lkn namwambia kuchekacheka na watoto muda wote si nzuri